Lissu alipigwa risasi 16 na waliompiga bado hawajakamatwa.kwani lissu amefanyiwa nini mpaka aende kujificha ubalozi wa ujerumani?
huyu ni mkimbizi wa kiuchumi tu,ndio mana alikimbiza familia yake ulaya,ili vurugu zikitokea wasidhurike
Kuna tatizo somewhere. Lakini, tunachokataa ni kupitia njia zenye kutia shaka kuraise issues. Mwamakula kweli ni mtu sahihi kuraise issue hii ya Lissu?Uhai wa binadamu yeyote yule ni MUHIMU kuliko jambo lolote lile, tuna laani vikundi, MAGENGE na Serikali inayoratibu mauaji ya Raia wake kwa namna yeyote ile.
Walio mpa Tundu Lissu kibali wakilete, maana naona maruweruweUshahidi basi.
Wa vitisho.
Wa maombi ya hifadhi.
Wa kukataliwa kibali.
Hujui kuwa wagombea urais walikuwa wanalindwa na jeshi la polisi hivyo jaribio lolote lingelichafua jeshi la polisi?Hujui kuwa wakati wa kampeni Lissu alikuwa anaandamana na kundi kubwa la watu ikiwemo timu yake ya kampeni hivyo ingekuwa ngumu kumshambulia?waache kumdhuru kipindi cha kampeni anaenda kulala porini huko ndo waje wamdhuru leo hii!.
Lissu aache maigizo.
sasa kama anajua usalama wake mdogo alikuja kufanya kampeni za nini huku kazunguka siku zote hizo mpka leo ndo aje atishiwe usalamaHata mwanzo kabla ya kapigwa risasi ilionekana kama drama. Ungekuwa wewe nafikiri ungekuwa umekufa. Acha ujinga na usalama wa watu. Last time alireport mpaka polisi lakini baadae akaishia kupigwa risasi 16. Bora kachukua hatua mapema. Huyo half msukuma haaminiki sana, ana visasi na chuki binafsi.
Mama jaribu kufikiria hivi kipindi cha nyuma kabla hajachakazwa risasi 32 si alianza kutoa tahadhali kama hizi mwishowe yakamtokea? Lissu sio kama wewe na mimi huenda ana marafiki huko ndani ya serikali wanamtonya habari zinazopangwa humo.
Chama kinatoaje taarifa wakati wametangaziwa kwamba "Uchaguzi umekwisha" tena mara tatu? Muhimu ni taarifa ziwafikie wananchi, haijalishi ni kwa njia gani.Kuna tatizo somewhere. Lakini, tunachokataa ni kupitia njia zenye kutia shaka kuraise issues. Mwamakula kweli ni mtu sahihi kuraise issue hii ya Lissu?
Ilitakiwa CHAMA kitoke na statement nzito.
Tuliwaambia mtashindwa vibaya, lakini mlibisha, hiki kipigo ni sawa na alichopata Trump.Wapi Pampo.Tanzania inasubiri serikali ya Marekani inayojitambua kufanya nayo kazi,Mkuu kama serikali haihusiki na kilichompata Lissu ule uchunguzi hata wa awali tu umefikia wapi?
Hakuna hata mtuhumiwa mmoja tu aliyekamatwa?
Kama serikali inashindwa kufanya uchunguzi kwa viongozi kama hawa ambao kule Dodoma wanaishi na viongozi wakubwa kama PM, vipi usalama wa viongozi si utakuwa mashakani?
Eneo alilopigiwa risasi linalindwa na cctv camera 24/7 pamoja na askari wa serikali, je siku anapigwa risasi cctv camera au askari waliokuwa zamu hawakushuhudia chochote?
Vitu vingine mbona ni simple tu kujiuliza ndugu.
Ukweli sio kwenye siasa yeye ni mtumishi wa Mungu sasa akitaka atuambie ukweli aseme mbinguni kuna moto kweli au mikawala tu...huo ndio ukweli tunaotaka toka kwake maana ndio field yake otherwise akae kimyaHuyu askofu huwa anaongea ukweli sana. Kama tungekuwa na Maaskofu kumi kama hawa hapa nchini, nchi hii isingekuwa masikini.
Tatizo sio kuogopa. Ujinga nikumtishia uhai wake bila ya sababu kwahiyo mimi kukutishia kifo kwanjia ninayoijua mimi inamaana hutaogopa wakati ninanguvu zakukushinda kwa njia yoyote?Jamaa si alisem aogop anajitoa kupigania haki, mbona anawakimbia wafuasi wake[emoji780] Huku akitaka waaandame frontline[emoji780] huki yeye akiokoa uhai wake.
Serikal ya ccm imeamua kuuwa raia ya wake bila ya sababu kisa hamtakikushindwa kila aina ya unyama mmefanya ndio maana mkifikwa ni lolote baya wananchi hufurahia baya hilo kwa sababu hampo kwa ajili ya raia bali matumbo yenu.Jamaa si alisem aogop anajitoa kupigania haki, mbona anawakimbia wafuasi wake[emoji780] Huku akitaka waaandame frontline[emoji780] huki yeye akiokoa uhai wake.
Mutafanya nini nyie!?Lissu akiguswa hata na unyoya safari hii! , tusije kulaumiana huko mbele ya Safari maana maandiko ya Mungu yanasema Kisasi ni haki, Kisasi kitalipwa tu!