Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,653
- 21,307
Mkuu, nakuhakikishia hata Mbowe mwenyewe na Mnyka ndio wamesikia kwa Mwamakula kwamba Lisu yuko mafichoni.Haki ya Mungu si ajabu makamanda ndio wamejua leo Lissu yupo mafichoni.
Membe hana amu nao makamanda.
Mkuu Lisu hata kipindi kile cha kampeni alikuwa kivyake vyake.Hii kitu inaweza kuwa na hasara nyingi zaidi kwa Lissu. Polisi wanaweza kudai ushahidi na pia kusema kwamba unapotishiwa maisha hukimbikii ubalozini bali unatoa taarifa polisi.
Harafu hii ‘battle’ ni kama vile Chama kimemsusa (au amekisusa yeye?) na sasa anapigana na watu aina ya Mwamakula. Hatoshinda
Wala sitoshangaa as far as they are concerned muda wa maigizo ushaisha, life goes on.Mkuu, nakuhakikishia hata Mbowe mwenyewe na Mnyka ndio wamesikia kwa Mwamakula kwamba Lisu yuko mafichoni.
Aljazeera kama wamerusha hizi habari, ni msaada mkubwa. huu utawala muda si mrefu unaanguka. icc, vikwazo, anguko kubwa la uchumi na malipo kutoka kwa Mwenyezi Mungu hawatakwepa.Hii inaenda kuwa U-turn kwenye siasa za Tanzania na hatma yake.
Nauona mwanzo mbaya wa hii serikali,Jana na Leo Aljazeera wameanza kurusha video za Zanzibar wanajeshi wakipiga watu,na kusema Magufuli kaapishwa kwa ushindi uliotawaliwa na wizi wa kura huku wakionesha kura zilizokamatwa na waliwahoji wasimamizi wa kimataifa ambao bila kumun'gunya maneno wamesema ulitawaliwa na udanganyifu.
Lissu anakimbia kesi zake maana kaambiwa aripoti mahakamani tarehe 30 mwezi huu na anajua wadhamini waliomba kujitoa na waliomba mahakama itoe idhini akamatwe ili wao wajitoe, mpaka Sasa Lissu hajapata wadhamini wapya maana kila anayemgusa anakataa kumdhamini maana anajua akienda ubelgiji Dec 18 harudi Tena.Ushahidi basi.
Wa vitisho.
Wa maombi ya hifadhi.
Wa kukataliwa kibali.
Anatakiwa aripoti mahakamani tarehe 30 mwezi huu na HAKUNA wa kumdhamini maana anajua akienda ubelgiji Dec 18 harudi tena. Hivyo ataswekwa mahabusu ndo maana kakimbilia ubalozini.Mshauri mkuu wa mtukufu ni polepole na wasaidizi wake ni cyprian Musiba le mutuz unategemea nini hapo zaidi ya kupewa ushauri wa kishetani tupu?
hata usipoamini ni sawa.
Maana kipindi kile alipopigwa risasi pia alisema na kweli IKATOKEA.
Umemtishia maisha kakimbilia sehemu salama sasa na wewe bila Aibu eti unasema anasaka huruma, iweje unamtishia maisha yake alafu hutaki ajihami?Kwa ubinafsi wake wa kutaka huruma na kupata ukimbizi kisheria, Tundu Lissu anatengeneza taswira kwa watanzania kuwa Chadema ni Chama kinachopata maelekezo kutoka Nchi za ugenini, na watu walioko nje ya nchi.
Anafanya tuonekane ni chama cha mamluki wa Nchi za kigeni kwa Watanzania wa kawaida. Na kufanya sio chama cha wananchi wa Tanzania wenye maamuzi na Chama chao.
He is soiling mud to the party and trying to kill the political future of our party. Tunakupenda lakini unako kwenda wenye kuangalia chama leo na kesho yake unatufadhaisha. Very sad.
Wapiga kura walioporwa haki zao kura zao wanaendelea kumlilia mungu ipo siku kilio chao kitasikika vizuri na mungu kutoa majibu,malipo ni hapa hapa DunianiMkuu usingepoteza muda kumjibu,,ukweli Jiwe ametengeneza jamii ya CCM ya watu wanyama na roho mbaya kupitiliza ndo maana mauaji yote yalitokea hakuna yeyote aliyekemea kuanzia Rais hadi mwanachama wa kawaida isipokua alipouliwa kada wao wakato amri na hazikupita siku 3 wakakamatwa.
Mh ni wewe kweli au maana siku hizi unamwaga point tu.This is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake!!??
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.
Maybe he was before your time and this is news flash to you, but Julius Nyerere is the root cause of these problems.Mwal Nyerere amka uje uone nchi uliyotuachia.
Visasi na kumwaga damu ni vya nini? Hebu sote tuijenge Tanzania ya upendo na amani.
Inategemea uzito wa vitisho. Lissu hakuwaji kuwa muongo hata siku moja. Kwanza hana skendo na angekuwa nayo hata moja kipindi cha uchaguzi Polepole ndiyo angesimamia. Leo naweka uvyama pembeni niwe mzalendo kwanza. Lissu anapaswa kuishi. Ni kwa nini binadamu kukubali kuua mwanadamu mwingine? Kwa nini ukifa mikono ibebe damu za watu? Tunaopenda amani na uhai wa binadamu mioyo yetu inasinyaa sana.Lisu si akirusha hadi chopa bila kibali, maana mwili wake ukishakufa ganzi hivyo haogopi chochote?
Inakuwaje leo anakuwa mkimbizi kisa vitisho?
Ukweli unawasuta walioshindwa Uchaguzi na kuingia madarakani kwa hila mshindi halisi akiishi kati yao kunawanyima usingizi kwa hiyo wanatafuta kumalizia kazi waliyoanza na kushindwa ili miaka 5 ijayo waishi salama. Nchi yetu imekuwa kichekesho kimataifa!This is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake!!??
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.
Kaburu wa Africa kusini alikuwa hivi hivi lakini na yeye ilifika mwisho hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu na wenzao leo hii wapo wapi?Nawaona Makamanda Wakuu wamegeuka kuwa wagambo Hadi wameanza kukimbilia uhamishoni.
Nasema hivi mwaka huu Mtaendelea kujitekenya na kujichekesha nyie kwa nyie.
Inasikitisha sana na wazee wa CCM wako kimyaThis is very sad!
Yaani mtu yupo uhamishoni ndani ya nchi yake?
Hapana kwa kweli. Hii haikubaliki hata kidogo.
Hivi kosa lake ni nini hasa mpaka watake kumfanyia unyama namna hiyo?
Hapana. Uovu huu lazima ukemewe na watu wote wenye mapenzi mema na Tanzania.
Totally unacceptable.