Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake

huo ndo ukweli hua sipendi kuandika thread ,kipindi kile LISu kafunguka iringa,Kuna Uzi niliuchangia na kumtaja wenje...ninalist ndefusana wote watatajwa ...nashauri freeman asikimbie mdahalo ukiwekwa
 
Haujanitendea haki.

Hapa nilikuwa namzungumzia Askofu ambae alikuwa anahojiwa, sio Lissu. Sijui kwa nini umekimbilia kwa Lissu ambae hata sikumtaja. Ni askofu ndie aliyemuita Wenje muoga kwa kukimbia nchi, pamoja na mambo mengine. Nilichotaka kuonyesha ni jinsi ilivyokuwa rahisi kumpakazia mtu. Huyu anaongea kama mfuasi wa Lissu ambae ni Makamu Mwenyekiti. Wenje alitangaza nia ya kutaka kugombea umakamu Mwenyekiti. Hapo unaweza kujumlisha 2 na 2 ukapata 22. Huyu Askofu ametamka wazi kuwa katika uchaguzi wa haki, hamna anaeweza kumshinda Lissu. Hapo si kaunganisha uchaguzi wa haki na ushindi wa Lissu? Hajaweka nafasi ya Lissu kushindwa. Lissu amesema tofauti na huyu askofu. Lissu amesema kuwa hajawahi kuwa Mwenyekiti, na kama atashindwa katika uchaguzi wa haki, atabakia kuwa mwanachama wa CDM ambae hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CDM. Haya ni maneno ya kujenga tofauti na ya hao wanaosema kuwa ni wafuasi wake.

Mimi sitashangaa kama akitokeza mwingine atakaesema kuwa haoni sababu ya Lissu kubaki CDM kama atashindwa kwenye uchaguzi. Najua ni hype ya uchaguzi lakini ni hatari. Hasa yanapoonekana dhahiri kumlenga mtu kama Mbowe ambae hajasema kuwa atagombea. Lissu anatakiwa awakemee watu kama hawa.

Amandla...
 
Ninyi machawa mlishakuwa kama mataahira!
'Chama rafiki' kimekuwa ACT hicho?
ACT walishawahi kumpa zawadi mwenyekiti wa CCM? ACT walishawahi kumwalika mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli yao? Yote hayo yamefanywa na chama rafiki CHADEMA.
 
Anatokea Yerico Nyerere anakaza fuvu kumpigia Wenje chapuo kuwa makamo wa Raisi! Chadema imejaa virus na Tundu lissu kuwa Mwenyekiti ndiyo solution.
 
Wapambe wa pande zote mbili (Freeman Mbowe & Tundu Lissu), wengi hawawezi kujieleza vizuri...

So long as umesema hizo ni hype za uchaguzi tu, basi ni kweli tuwaelewe na kuwachukulia hivyo....

Na kwenye mihemko ya kiuchaguzi mashabiki wa mgombea wengi huwa wanamuona mgombea na namna wanavyompenda huyo mgombea, hawatazami mambo mengine yanayomkamilisha mgombea ku - fit kwenye kinyang'anyiro. Hii haiko CHADEMA tu bali iko kotr duniani na katika taasisi yoyote inayopata viongozi wake kwa njia ya chaguzi za wazi na za kidemokrasia....

Kwa upande wa pili, wengi hawazijui principles za uchaguzi kubwa zikiwa free, transparent & fair elections na Accepting results...

Kama shabiki au "Chawa" haelewi haya, kwake tokana na mapenzi a liyonayo kwa mgombea wake, ni rahisi tu kujisemea kuwa " iwe isiwe kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki Tundu Lissu ni lazima ashinde.."

Kauli hii definitely haina balance kwa sababu ndani ya mazingira ya free, transparent and fair election ndimo hasa kuna mgombea kushinda au kushindwa fairly kabisa...

Tundu Lissu anafahamu hili ndiyo maana akasema, kama nikishindwa katika mazingira ya namna sitakuwa mwenyekiti na nitabaki na nafasi yangu ya uanachama...

Hii ni response ya mtu ambaye ni very matured politically...
 
Nani kakulazimisha uyakubali maoni yangu
Hakuna aliyenilazimisha, ndio maana nimeyasoma na kusema "rejected" kwa sababu hayaingii kwenye kichwa cha akili zilizo timamu....!
Hamjui nini maana ya kutoa maoni
Najua na ndio maana nikakushukuru kwa kukuambia "asante kwa maoni yako, lakini hayafai na kwa hiyo, "they are rejected...!"
Mnataka kusikia maoni yanayoendana na mawazo yenu
Hapana, na yako yamesikika lakini hayakufaa kwa sababu hayaiingii kwenye kichwa cha mwenye akili timamu...!

Bado huelewi tu..??
The best part is, if you don't know, now you know my opinion
Ofcoz, I know...

Unfortunately, your opinions are not suitable for public consumption....!!

I am very sorry...
 
Lissu hajawahi kuhongeka tangu Mkapa, Kikwete na Magufuli.

Vikao vilishafanyika vingi kumhonga vilishashindikana
 
Drama hizi ni kuchafuana tu....Mbona kakazana na Wenje sana??
 
Imagine haya mambo yanafanyika kwenye chama cha upinzani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…