Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haki,uhuru na maendeleo ....makanisa yalishaibeba sana ccmHivi kwanini Kuna maaskofu na mapadri wengi sana kwenye hiki Chama?!!!!!
Ni kweli misimamo ya Mbowe ndio ya kuaminika.Lissu siyo wa kumuamini maana aliwahi kusema hagombei uenyekiti wa chama Leo.
Haujanitendea haki.Naamini unaweza kuwa na maoni bora zaidi ya haya, mkuu 'Fundi'.
Nakumbuka majibishano yetu hivi karibuni. Sikupata muda wa kurudi tena kwako; lakini naona kumbe unao msimamo usio tetereka.
Kwa bahati mbaya, ni msimamo ulio na kasoro kubwa.
Tundu Lissu haja sema popote hayo maneno unayo dai wewe kayasema. Kwa nini uwe na shaka ya yeye kutojuwa maana ya "uchaguzi ulio haki"?
Mama Samia ndio adui wa demokrasia TanzaniaLissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA.
Chama chao!Hivi kwanini Kuna maaskofu na mapadri wengi sana kwenye hiki Chama?!!!!!
Sasa we kichaa unatema mate kwa kinyaa gani ulichonacho!Chini ya nani, Samia? Nitamdharau sana, na nikikutane naye mahala namtemea mate kabisa usoni.
ACT walishawahi kumpa zawadi mwenyekiti wa CCM? ACT walishawahi kumwalika mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli yao? Yote hayo yamefanywa na chama rafiki CHADEMA.Ninyi machawa mlishakuwa kama mataahira!
'Chama rafiki' kimekuwa ACT hicho?
Eti eeh!ACT walishawahi kumpa zawadi mwenyekiti wa CCM? ACT walishawahi kumwalika mwenyekiti wa CCM kuwa mgeni rasmi kwenye shughuli yao? Yote hayo yamefanywa na chama rafiki CHADEMA.
Anatokea Yerico Nyerere anakaza fuvu kumpigia Wenje chapuo kuwa makamo wa Raisi! Chadema imejaa virus na Tundu lissu kuwa Mwenyekiti ndiyo solution.View attachment 3179176
Courtesy: MwanaHalisi Online TV
Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena...
Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya utawala mama yake na yeye atampa mapesa (rushwa) ya kumsaidia kwenye mambo yake...
Katika maelezo ya Tundu Lissu, alisema, ili huyu Abdul amfikie ilibidi kuwatumia viongozi fulani wa CHADEMA very influential ndani ya chama kumfanyia "connection" Ili kuonana naye na ikawa hivyo....
Ktk maelezo ya Tundu Lissu aliyopewa na Abdul alipokutana naye nyumbani kwake (TL) kupelekewa "mzigo" ni kwamba, baadhi ya wenzie ndani ya CHADEMA huyu Abdul alishamalizana nao kwa kupokea migawo yao ya "mzigo wa rushwa ya kuwafunga midomo", kwamba, amebaki yeye tu Tundu Lissu...
Kama tunakumbuka vyema, Tundu Lissu ktk tuhuma dhidi ya baadhi ya viongozi wenzake ndani ya CHADEMA kuhongwa na Rais Samia kupitia kwa mwanae Abdul, actually alikuwa hataji majina yao zaidi ya kusema wapo...
Sasa leo, Askofu Mwanamapinduzi akihojiwa ktk mahojiano maalumu na Mwanahalisi Online TV, ametegua kitendawili kwa kumtaja kiongozi mmojawapo wa CHADEMA aliyetumiwa na Abdul Ili amwone Tundu Lissu na kumshawishi kuchukua rushwa ya kuziba midomo toka kwa mama yake Rais Samia Suluhu Hassan...
Pamoja na mambo mengine, hebu tazama na msikilize mwenyewe huyu Askofu Mwanamapinduzi...
Sasa mambo yameanza kunoga....
Wapambe wa pande zote mbili (Freeman Mbowe & Tundu Lissu), wengi hawawezi kujieleza vizuri...Haujanitendea haki.
Hapa nilikuwa namzungumzia Askofu ambae alikuwa anahojiwa, sio Lissu. Sijui kwa nini umekimbilia kwa Lissu ambae hata sikumtaja. Ni askofu ndie aliyemuita Wenje muoga kwa kukimbia nchi, pamoja na mambo mengine. Nilichotaka kuonyesha ni jinsi ilivyokuwa rahisi kumpakazia mtu. Huyu anaongea kama mfuasi wa Lissu ambae ni Makamu Mwenyekiti. Wenje alitangaza nia ya kutaka kugombea umakamu Mwenyekiti. Hapo unaweza kujumlisha 2 na 2 ukapata 22. Huyu Askofu ametamka wazi kuwa katika uchaguzi wa haki, hamna anaeweza kumshinda Lissu. Hapo si kaunganisha uchaguzi wa haki na ushindi wa Lissu? Hajaweka nafasi ya Lissu kushindwa. Lissu amesema tofauti na huyu askofu. Lissu amesema kuwa hajawahi kuwa Mwenyekiti, na kama atashindwa katika uchaguzi wa haki, atabakia kuwa mwanachama wa CDM ambae hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CDM. Haya ni maneno ya kujenga tofauti na ya hao wanaosema kuwa ni wafuasi wake.
Mimi sitashangaa kama akitokeza mwingine atakaesema kuwa haoni sababu ya Lissu kubaki CDM kama atashindwa kwenye uchaguzi. Najua ni hype ya uchaguzi lakini ni hatari. Hasa yanapoonekana dhahiri kumlenga mtu kama Mbowe ambae hajasema kuwa atagombea. Lissu anatakiwa awakemee watu kama hawa.
Amandla...
Hakuna aliyenilazimisha, ndio maana nimeyasoma na kusema "rejected" kwa sababu hayaingii kwenye kichwa cha akili zilizo timamu....!Nani kakulazimisha uyakubali maoni yangu
Najua na ndio maana nikakushukuru kwa kukuambia "asante kwa maoni yako, lakini hayafai na kwa hiyo, "they are rejected...!"Hamjui nini maana ya kutoa maoni
Hapana, na yako yamesikika lakini hayakufaa kwa sababu hayaiingii kwenye kichwa cha mwenye akili timamu...!Mnataka kusikia maoni yanayoendana na mawazo yenu
Ofcoz, I know...The best part is, if you don't know, now you know my opinion
Lissu hajawahi kuhongeka tangu Mkapa, Kikwete na Magufuli.View attachment 3179176
Courtesy: MwanaHalisi Online TV
Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena...
Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya utawala mama yake na yeye atampa mapesa (rushwa) ya kumsaidia kwenye mambo yake...
Katika maelezo ya Tundu Lissu, alisema, ili huyu Abdul amfikie ilibidi kuwatumia viongozi fulani wa CHADEMA very influential ndani ya chama kumfanyia "connection" Ili kuonana naye na ikawa hivyo....
Ktk maelezo ya Tundu Lissu aliyopewa na Abdul alipokutana naye nyumbani kwake (TL) kupelekewa "mzigo" ni kwamba, baadhi ya wenzie ndani ya CHADEMA huyu Abdul alishamalizana nao kwa kupokea migawo yao ya "mzigo wa rushwa ya kuwafunga midomo", kwamba, amebaki yeye tu Tundu Lissu...
Kama tunakumbuka vyema, Tundu Lissu ktk tuhuma dhidi ya baadhi ya viongozi wenzake ndani ya CHADEMA kuhongwa na Rais Samia kupitia kwa mwanae Abdul, actually alikuwa hataji majina yao zaidi ya kusema wapo...
Sasa leo, Askofu Mwanamapinduzi akihojiwa ktk mahojiano maalumu na Mwanahalisi Online TV, ametegua kitendawili kwa kumtaja kiongozi mmojawapo wa CHADEMA aliyetumiwa na Abdul Ili amwone Tundu Lissu na kumshawishi kuchukua rushwa ya kuziba midomo toka kwa mama yake Rais Samia Suluhu Hassan...
Pamoja na mambo mengine, hebu tazama na msikilize mwenyewe huyu Askofu Mwanamapinduzi...
Sasa mambo yameanza kunoga....
Kwa vitendoLissu anaichukia RUSHWA.
Mimi Mwenyewe Mbowe kashanitoka na baaadhi ndani ya Chadema.Mwanasiasa pekee aliyebaki na imani yangu ni Lissu, basi.
Imagine haya mambo yanafanyika kwenye chama cha upinzani..Utaachaje kumwamini dereva aliyekuwa anatembelea gia namba moja anapobadili kwenda gia namba 5 Ili gari lishike kasi kwenye highway...?
Msikilize huyu Askofu vizuri. Anasema kumbe hata Wenje aliambiwa na timu Freeman Mbowe kuwa achukue fomu ya umakamu Mwenyekiti mkakati ukiwa ni kuhakikisha Tundu Lissu Lissu hata umakamu haupati...!
Kujua hilo, Tundu Lissu akasema kumbe ndiyo hivyo? Sasa, nakwenda gia ya mwisho (Uenyekiti) tupambane huko huko juu...
Kwa hiyo brother/sister, hii move Iko very well culculated na hesabu zinakwenda na kuunga automatic...
There's no way watamzuia huyu mwamba kuwa Mwenyekiti unless watumie ujinga huu unaopigiwa kelele sasa wa kutaka kumuua tena...!!
The only option aliyonayo Freeman Mbowe ni kustaafu kwa heshima...
Hili liko very clear unless otherwise anataka kuharibu legacy yake njema aliyoijenga kwa miaka 30+ ya siasa za mageuzi Tanganyika....!!