Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267
Courtesy: MwanaHalisi Online TV

Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena...

Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya utawala mama yake na yeye atampa mapesa (rushwa) ya kumsaidia kwenye mambo yake...

Katika maelezo ya Tundu Lissu, alisema, ili huyu Abdul amfikie ilibidi kuwatumia viongozi fulani wa CHADEMA very influential ndani ya chama kumfanyia "connection" Ili kuonana naye na ikawa hivyo....

Ktk maelezo ya Tundu Lissu aliyopewa na Abdul alipokutana naye nyumbani kwake (TL) kupelekewa "mzigo" ni kwamba, baadhi ya wenzie ndani ya CHADEMA huyu Abdul alishamalizana nao kwa kupokea migawo yao ya "mzigo wa rushwa ya kuwafunga midomo", kwamba, amebaki yeye tu Tundu Lissu...

Kama tunakumbuka vyema, Tundu Lissu ktk tuhuma dhidi ya baadhi ya viongozi wenzake ndani ya CHADEMA kuhongwa na Rais Samia kupitia kwa mwanae Abdul, actually alikuwa hataji majina yao zaidi ya kusema wapo...

Sasa leo, Askofu Mwanamapinduzi akihojiwa ktk mahojiano maalumu na Mwanahalisi Online TV, ametegua kitendawili kwa kumtaja kiongozi mmojawapo wa CHADEMA aliyetumiwa na Abdul Ili amwone Tundu Lissu na kumshawishi kuchukua rushwa ya kuziba midomo toka kwa mama yake Rais Samia Suluhu Hassan...

Pamoja na mambo mengine, hebu tazama na msikilize mwenyewe huyu Askofu Mwanamapinduzi...

Sasa mambo yameanza kunoga....
 
Taarifa umeileta usiku sana watu tumelala, Lissu siyo wa kumuamini maana aliwahi kusema hagombei uenyekiti wa chama Leo.
Utaachaje kumwamini dereva aliyekuwa anatembelea gia namba moja anapobadili kwenda gia namba 5 Ili gari lishike kasi kwenye highway...?

Msikilize huyu Askofu vizuri. Anasema kumbe hata Wenje aliambiwa na timu Freeman Mbowe kuwa achukue fomu ya umakamu Mwenyekiti mkakati ukiwa ni kuhakikisha Tundu Lissu Lissu hata umakamu haupati...!

Kujua hilo, Tundu Lissu akasema kumbe ndiyo hivyo? Sasa, nakwenda gia ya mwisho (Uenyekiti) tupambane huko huko juu...

Kwa hiyo brother/sister, hii move Iko very well culculated na hesabu zinakwenda na kuunga automatic...

There's no way watamzuia huyu mwamba kuwa Mwenyekiti unless watumie ujinga huu unaopigiwa kelele sasa wa kutaka kumuua tena...!!

The only option aliyonayo Freeman Mbowe ni kustaafu kwa heshima...

Hili liko very clear unless otherwise anataka kuharibu legacy yake njema aliyoijenga kwa miaka 30+ ya siasa za mageuzi Tanganyika....!!
 
Huyu myaturu mbona sijawahi kumsikia akisema kati ya watu wa kwanza kuja kumtebelea baada ya jaribio la kumuua alikuwa Mama Samia......
Na leo hii kalipwa hela yake yote na Mama bila kwenda mahakamani kuidai....
Na juzi tu hapa aliomba mitandaoni achangiwe hela ya gari mpya na wananchi...
Kwani huyo Abdul sio mwananchi?
Huu ushambenga wake ndio unaitwa Drama Queen
#Mbowe Mwenyekiti.......
 
Wenje si amesema atagombea u Makamu Mwenyekiti? Na inaelekea kuwa msimamo wake ni kuwa uchaguzi wa haki maana yake ni Lissu ashinde. Hii ni hatari sana maana anaweka mbegu za kukataa matokeo hapo baadae. Kwa kweli sio vizuri.

Amandla...
 
Huyu myaturu mbona sijawahi kumsikia akisema kati ya watu wa kwanza kuja kumtebelea baada ya jaribio la kumuua alikuwa Mama Samia......
Na leo hii kalipwa hela yake yote na Mama bila kwenda mahakamani kuidai....
Na juzi tu hapa aliomba mitandaoni achangiwe hela ya gari mpya na wananchi...
Kwani huyo Abdul sio mwananchi?
Huu ushambenga wake ndio unaitwa Drama Queen
#Mbowe Mwenyekiti.......
Mmmh🤔🤔🤔🤔..!

Haya nayo ni maoni, au siyo...?

Asante kwa kutumia uhuru wako wa kutoa maoni..

But, unfortunately, hayaingii kwenye akili ya mtu timamu..

I therefore kindly informing you that, They're all rejected and thrown in the garbage...!!

Pole sana...
 
Ndio tatizo la wabongo akili ndogo
Nani kakulazimisha uyakubali maoni yangu
Hamjui nini maana ya kutoa maoni
Mnataka kusikia maoni yanayoendana na mawazo yenu
The best part is, if you don't know, now you know my opinion
 
View attachment 3179176
Courtesy: MwanaHalisi Online TV

Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena...

Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya utawala mama yake na yeye atampa mapesa (rushwa) ya kumsaidia kwenye mambo yake...

Katika maelezo ya Tundu Lissu, alisema, ili huyu Abdul amfikie ilibidi kuwatumia viongozi fulani wa CHADEMA very influential ndani ya chama kumfanyia "connection" Ili kuonana naye na ikawa hivyo....

Ktk maelezo ya Tundu Lissu aliyopewa na Abdul alipokutana naye nyumbani kwake (TL) kupelekewa "mzigo" ni kwamba, baadhi ya wenzie ndani ya CHADEMA huyu Abdul alishamalizana nao kwa kupokea migawo yao ya "mzigo wa rushwa ya kuwafunga midomo", kwamba, amebaki yeye tu Tundu Lissu...

Kama tunakumbuka vyema, Tundu Lissu ktk tuhuma dhidi ya baadhi ya viongozi wenzake ndani ya CHADEMA kuhongwa na Rais Samia kupitia kwa mwanae Abdul, actually alikuwa hataji majina yao zaidi ya kusema wapo...

Sasa leo, Askofu Mwanamapinduzi akihojiwa ktk mahojiano maalumu na Mwanahalisi Online TV, ametegua kitendawili kwa kumtaja kiongozi mmojawapo wa CHADEMA aliyetumiwa na Abdul Ili amwone Tundu Lissu na kumshawishi kuchukua rushwa ya kuziba midomo toka kwa mama yake Rais Samia Suluhu Hassan...

Pamoja na mambo mengine, hebu tazama na msikilize mwenyewe huyu Askofu Mwanamapinduzi...

Sasa mambo yameanza kunoga....
Kuanzia dk ya 5.. huyu mchungaji ni mjinga wenje kaka yale ameuliwa hadharani kwanini asikimbie
 
Back
Top Bottom