Askofu Mwingira kauliza swali. Karibuni kwa majibu

Kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake
 
Hakuna swali la kijinga. Swali ni swali jibu kama huna jibu nyamaza mkuu
Hakuna mshindi na mshindwa mbele ya kifo! Wote tutaonja mauti, na wote kabisa dunia nzima hakuna asiye na
Acha ujinga, Aliyeshinda kifo ni Yesu pekee!

Lisu hajashinda kifo, kwani lazima atakionja tuu kwa kuwa tuliumbwa tufe, ila amenusurika kifo!

Kila nafsi itaonja mauti!
 
Huu ushindi wa bila kushindana ni ushindi wa ki ccm, Lissu kafanyiwa shambulizi akapelekwa nje ya nchi kutibiwa na akajichimbia huko akawa anaogopa kurudi. Sasa lini kashindana hadi akaweza kushinda?
 
Kwa Kweli Hata Mimi nilikua simuungi mikono JPM kwenye baadhi ya mambo lakini Baada ya kifo chake nimekua nikiona mazuri yake Mengi kuliko mabaya

R.I.P JPM
 
Sahihi kabisa boss
 
View attachment 2496495

N.B. Naomba wote mnaotaka kutoa comment kwenye uzi huu mjibu swali la askofu na si vinginevyo
Maana yake ni hii:

Tundu Lissu ni mshindi wa yote yaani alishinda;

✓ Uchaguzi mkuu wa 2020

✓ Alishinda kifo na mauti ya risasi 37 toka Kwa hayawani wale a.k.a machawa.

Lakini mtoa amri na mlipaji wa wauaji wale na mwizi wa kura na uchaguzi ule wa 2020 ajabu eti ndiye Kafa, ameoza ardhini!!

NI KWELI KABISA MSHINDI NI MSHINDI TU lakini MWIZI WA KURA AMEKUFA
 
Tukiwa watu wenye akili nzuri na huru, tunaweza kukumbuka kwamba Mwingira alitoa tuhuma za yeye kunusurika kuawa au kuwepo kwa mipango ya kumuua wakati uliopita (polisi walihusishwa kumhoji pia).
Tundu Lisu (mgombea urais 2020) yupo kwenye kundi moja.
Sasa ni mjinga tu atakayeshangaa au kupambana na na maoni yake au hoja kama hii.
Kila mtu ana haki ya kujitetea au kutoa hisia au maoni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…