Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.

Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga Reli wala daraja la juu ( fly over) lakini tazama jinsi alivyo na wafuasi wengi sana.

Hakika mtu huyu ni Victor (mashindi) na kwamba Mungu yuko ndani yake.

Anasema kutokana na Lissu kuwa competitor na wengine Loosers hivyo hakuna wakumwangusha Lissu na wala hakuna wakumtisha maana ni victor.

Video hii hapa chini.
Your browser is not able to display this video.
 
Mtume na nabii Mwingira ametoa unabii wake kuhusu Uchaguzi huu wa 2020 Oktoba.

Moja ya pointi kubwa aliyoizungumzia ni kuwa mshindi hawezi kuzuiwa, kama Mungu alimpa ushindi basi atashinda.

Japokuwa ametumia kiingereza huku ikitafsiriwa lakini ujumbe huu unaweza kuwa wa kwanza kwa Kanisa la Kipentekoste hasa makanisa yenye huduma za mtu binafsi.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Ana maumivu tu huyo Hana lolote
Walizoea kupiga enzi za JK Sasa hivi maumivu tupu.

Magu endelea kuwanyoosha. Niliwahi kumsikia miaka kadhaa iliyopita anajitapa tena kanisani eti Mungu NI mkubwa Sana Ninamiliki zaidi ya 500 pairs of shoes

Wakatii kanisani kwake Kuna watu wanatembea wamevaa ndala hawajui kiatu. Alinishangaza Sana kwa hiyo statement sitakaa nisahau nilikuwa naangalia kwenye TV anahubiri.
 
Mzee wangu Mwingira hajifunzi, 2015 alimbeza na kumtukana JPM na bado alishinda.

Nyuma ya pazia huyu mzee anaongozwa na ukabila wa mkewe mambo ya uchagani, wachaga wengi walikuwa wezi, njia za wizi zimebanwa, kujipendelea kazi nako siku hizi imekua ngumu so wamechanganyikiwa. Dkt Magufuli ndiye rais wetu atake asitake!
 

Kupiga nini acha ujinga wako kwani huyo anayepiga trillion 1.5 ni wakati wa Kikwete huu, nani aliwahi kuiba pesa ndefu hivo achilia ufisadi wa kujenga kiwanja kijijini kwake, bora hata enzi za Kikwete maana huyo vingekuwa vyombo vya habari viko huru angepigwa na mawe akiwa jukwani na watu walivyo na hasira nae subiri tarehe 28
 
Huyu nabii si ndo anakulaga kondoo? Utabiri fake huo chezea sadaka na biashara ya unga kuyumba, lazima achanganyikiwe!
 
Ukifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…