Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Kukaa kimya nako ni hekima. Lissu anafuatwa kishabiki tu. Hawezi shida Urais, tukutane oct 28.
 
Reactions: len
Mwingila huwa akiongea kitu wafuasi wake huwa hawapindui,hapo amini nawaambia kila mwana Efatha kura zake ni kwa Lissu.
 
Matendo ya MUNGU ni makuu kupita yote awezayo kuyafanya Mwanadamu. Atukuzwe MUNGU juu Mbinguni na Amani ipitayo vyote iwe nasi
 
Mkuu sintaongeza wala kupungza nisije nikaonekana nampinga Mungu....

Tundu Lissu mpenda Haki, Mpenda watu wake, Mwenye kuwaonea Huruma, mtetezi wa wanyonge....namwombea kwa Mungu awe ndiye Rais wetu ajaye.
 
Huyo Mwingira naye shahidi wa uongo hizo risasi 16 anazosema Lisu alipigwa aliziona? Au aliiona ripoti ya daktari inayoonyeha risasi 16? Ushahidi wa kuwa Lisu alipigwa risasi 16 kautoa wapi?
Anapiga ushahidi wa uongo madhabahuni
 
Magufuli kauwa watu Sana, katesa watu Sana, alijiona Kama nchi hii ni yake akaifanya Ya kifamilia atatoka tu kwa nguvu za MUNGU Kama alitumia bunduki za kivita kutaka kumuua lisu ndio ataweza kuzitumia kuwauwa watanzania wote ili atawale? Hawez tena tuna mtu ambae MUNGU kamtuma kuja kukomboa wanae
 
Ukifikiria kwa jicho la kiroho kama ambavyo Mshana Jr ameshawahi kueleza humu kuwa Lissu sio binadamu tena. Anayejaribu kupamabana naye ajiulize mara mbili mbili.
View attachment 1578779
Basata na cosota wanasemaje juu hati miliki ya nyimbo, familia ya Bob ikisikia hii tunaweza shitakiwa na kulipa faini ndefu,
 
Ushindi wake huo unasidia nini wakati atapata chini ya asimilia 20 na rais ni JPM?
 
Reactions: len
Mkiishiwa kutoa hoja Kama ni mzungu mnamwiita beberu Kama ni mswahili mnamwiita fisadi mnasahau kuwa kipindi cha magufuli ndio kipindi ambacho umetokea ufisadi wa kutisha
 
Huyo Mwingira naye shahidi wa uongo hizo risasi 16 anazosema Lisu alipigwa aliziona? Au aliiona ripoti ya daktari inayoonyeha risasi 16? Ushahidi wa kuwa Lisu alipigwa risasi 16 kautoa wapi?
Anapiga ushahidi wa uongo madhabahuni
Tuambie wewe alipigwa ngapi?
 
Hakika umenena vyema. Mungu akubariki

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe una akiri timamu? Watu wanataka kumuondoa magufuli Kwa kutuletea ukabila na kutugawa wewe unasemaje? Magufuli ni mkatiri, mwizi, muuwaji, mtesaji, na fisadi kuuu kuliko Maria's wote na ndio ambae tangu tupate uhuru katumia madaraka yake vibaya kupiga matrilioni na CAG alipomuumbua akamfukuza Kazi
 
Mke wa Bishop Mwingira siyo Mchaga, ni Mmeru! Pia usitukane askofu mmoja tu, kumbuka na yule aliye mpa Magufuli tuzo ya kuiondoa corona nchini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…