Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Sasa tuungane kuwang'oa mafisadi madarakani.
Usiwatetee!
Kuwang'oa ndilo limekuwa lengo letu muda mrefu, tatizo tuliyefikiri angekuwa mbadala ndiye fisadi na gaidi kuliko hao tunaotamani wang'oke.

Watu waliofika bei kwa fisadi Lowasa unaweza kuwakabidhi nchi kama una akili timamu?!

Uchaguzi mdogo Igunga baada ya Rostam kujiuzulu kama ulikuwa na umri wa kufahamu yanayotendeka utakumbuka Mkuu wa wilaya kukwidwa na kijana mmoja wa chadema miongoni mwa vijana waliomwagwa pale toka Tarime. Kama mkuu wa ulinzi na usalama wilayani anaweza kukwidwa mchana kweupe na kijana wa chadema, wakipewa nchi wanaweza kuvumilia hali ya upinzani?! Mbona wahanga wa mashambulizi kama shambulio la Lisu utakuwa wimbo kila kona ya nchi!

Lakini kubwa na muhimu zaidi, yule kijana na wenzake hawakutoa pesa yao kwenda Igunga, yale mamilioni ya chama anayojilipa Mbowe kila mwezi ndiyo yanafadhili vitendo vya kigaidi kama hivyo. Dr Slaa baada ya kutofautiana nao na kuona maisha yake yako hatarini ilibidi ajisalimishe serikalini kunusuru maisha yake.

Think twice brother! Mabadiliko tunayataka sana, na Inshallah yatakuja wakati muafaka na kupitia kwa watu muafaka.
 
Tayari minyukano ya wanasiasa imeanza ambapo wafuasi wa Chadema wanamshambulia mbunge mtarajiwa wa Kawe askofu Gwajima na wale wafuasi wa CCM wanamshambulia kipenzi cha Tundu Lisu Nabii Mwingira.

Kinachonishangaza watumishi hawa wa Mungu wanalalamikiwa kuvunja amri ya 6, 9 na 10 ambazo Nabii Musa alipewa na Mungu pale mlimani.
Yaani dhambi zao zinafanana.

Niwapongeze Kanisa Katoliki na apostoliki kwa kutojiingiza kwenye siasa na hivyo kulinda heshima ya mwili wa Kristo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ilikuwaje mkampa Gwaji Boy ruhusa ya kugombea ikiwa mnajua alivunja hizo amri
 
Hii hata mimi nimewahi kuisikia. Muda utaongea. Hapo jeshini kuna vijana waliomaliza form six na wenye degree wengi ni waelewa sana. Hawawezi kuumiza wananchi kisa matakwa ya mtu mmoja.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Wanajeshi wetu wameapa kumlinda amiri jeshi mkuu, hawatakubali kutumiwa na mabeberu
 
Lissu ni moja kati ya hazina Mungu aliyotuzawadia watanzania, jamaa kwakweli ninampenda kupitiliza, mapenzi kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, Mungu azidi kumlinda, kumpigania na kumpa maisha marefu zaidi.
Bila shaka aisee. Huwa ananipa vitu sana pale anapotaka kujenga hoja na kumbana mtu
 
Huyu ana machungu ya benki yake ya Efatha kupigwa ban kama ilivyo kwa Munga na SEKOMU yake.
 
Mwingira ni tajiri..atajenga kanisa kwa siku tatu..if you know what I'm saying
*JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA UNAJIITA NABII WAKATI UNABII UMEUPATA KWENYE KIFUA CHA KAHABA*

Nimekufuatilia kwa kipindi kirefu ewe unayejiita Nabii MWINGIRA jinsi unavyowalaghai Kondoo wa Mungu kwa kisingizio cha Unabii. Kwa bahati nzuri wewe mwenyewe ulikiri kuwa *Unabii* wako uliupata wakati unazini na mwanamke *KAHABA* huko Mirerani Arusha lakini tangu hapo tabia ya kuzini ndio kama imepata kibali kutokana na ushuhuda wako.

Kinyume na Manabii wengine wewe umekuwa Master wa *Ngono* na *Zinaa* hasa kwa wanawake wanaofuata huduma za Kiroho kwenye Kanisa lako lakini wewe umewapa mpaka za Huduma Kimwili (Zinaa) bila hata ridhaa yao Je, unataka kuwaambukiza *UKIMWI?*

Unavunja ndoa za watu mashuhuri kwa kuwadanganya wake zao kwamba unawafanyia *Deliverance* tena unachagua kufanyia kwenye vyumba vya Hoteli ikiwemo Millenum Hotel, Karibu Hoteli DSM na Kibaha Efatha Village. Mfano mdogo tu Umevunja ndoa ya Dkt. Philis Nyimbi tena hadi kufikia hatua ya kuzaa nae mtoto *DAVID MWINGIRA* 20/02/2008 na kubadilisha jina la mtoto huyo kuwa David William Morris ambalo la mume wa Dkt. Nyimbi ili tu usiumbuke.

Umevunja ndoa ya Advocate Mbuya na mke wake Lidya kwa kujiamini kabisa ulivizia akiwa anasafiri Mzee Mbuya wewe unakwenda kumtafuna mke wake tena kwenye kitanda cha Mbuya unavunja amri ya sita.

Bado haitoshi ukaamua kuwabaka wanawake zaidi ya 10 wanaokuja kwenye Makazi ya Boma la Efatha Kibaha karibu na Chuo Kikuu Huria sehemu ambayo huwa unajifungia kwa madai eti hutaki kusumbuliwa unaongea na Mungu kumbe unazini humo. Cha kusikitisha zaidi hata wengine unawaingilia kinyume na maumbile bila ridhaa yao na bila hata aibu bado unajiita Mtume na Nabii.

Umedhulumu mali zenye thamani ya Tshs. Bilioni 9 za Dkt. William Morris (mume wa Dkt. Philis Nyimbi) na ukamuundia zengwe ili afukuzwe nchini tena ukawahonga Polisi wa Kituo cha Kibaha ili wamkamate kama mhamiaji haramu na Ulipofanikiwa Mali zake ukafanya mtaji wa kununua maeneo zaidi Kibaha na kuanzisha Benki ya Efatha pale Mwenge ambayo pia uliitumia kama nyezo ya kutakatisha fedha.

Hii ni sehemu ya kwanza, Sehemu ya Pili itakuja na list ya wanawake ambao umekuwa ukizini nao tena wengine ni wake za watu mashuhuri na wengine ni wanafunzi.
 
Nimefurahi kuona waumini wake wengi wamekataa kuwa nyumbu.

Alitegemea aone kanisa zima likiripuka kwa shwangwe.

Nadhani sasa kaelewa watanzania wanataka nani awaongoze
 
KUFUKUA MAKABURI YA NABII NI KUMDHARIRISHA WAKUU !

Shemeji Mwingira ulihesabu gharama ya vita uliyoanzisha wakati uko kwenye Jumba la vioo ?

Back
Top Bottom