Kuwang'oa ndilo limekuwa lengo letu muda mrefu, tatizo tuliyefikiri angekuwa mbadala ndiye fisadi na gaidi kuliko hao tunaotamani wang'oke.Sasa tuungane kuwang'oa mafisadi madarakani.
Usiwatetee!
Watu waliofika bei kwa fisadi Lowasa unaweza kuwakabidhi nchi kama una akili timamu?!
Uchaguzi mdogo Igunga baada ya Rostam kujiuzulu kama ulikuwa na umri wa kufahamu yanayotendeka utakumbuka Mkuu wa wilaya kukwidwa na kijana mmoja wa chadema miongoni mwa vijana waliomwagwa pale toka Tarime. Kama mkuu wa ulinzi na usalama wilayani anaweza kukwidwa mchana kweupe na kijana wa chadema, wakipewa nchi wanaweza kuvumilia hali ya upinzani?! Mbona wahanga wa mashambulizi kama shambulio la Lisu utakuwa wimbo kila kona ya nchi!
Lakini kubwa na muhimu zaidi, yule kijana na wenzake hawakutoa pesa yao kwenda Igunga, yale mamilioni ya chama anayojilipa Mbowe kila mwezi ndiyo yanafadhili vitendo vya kigaidi kama hivyo. Dr Slaa baada ya kutofautiana nao na kuona maisha yake yako hatarini ilibidi ajisalimishe serikalini kunusuru maisha yake.
Think twice brother! Mabadiliko tunayataka sana, na Inshallah yatakuja wakati muafaka na kupitia kwa watu muafaka.