Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Toa ushahidi usio na shaka kuwa amemuita samia shetani kuhusu rombo hotel wabishe waone watu watakavyoingia kazin kuleta data.
 
Mimi nitakuwa wakili wa Mwingira
 
Kama anao ushahidi wa hayo mauaji hali itakuwa mbaya zaidi kwa wamiliki wa Hotel, wenyewe wanajua bora wanyamaze.
Kwani wenye hotel ndiyo walimuua binti? Hali itakuwa mbaya kwao kivipi?
 
Shetani bana achaa hasira, mbona tukimsema mungu kwa matendo yake Huwa hakasiriki?? nyie vipi mkiitwa majina yanayoendana na matendo yenu. Mnawaka
 
Kwa nini usiwe "wakili" wao?Ina maana Mwingira ni mjinga sana hadi aongee hivyo?Na bado.Kila aliyeumizwa atatoa sumu kifuani mwake.Wavumiliwe tu kwani hata wao wakati wanaumizwa walivumilia.Bado kuna watumishi wa umma,wafanyabiaahara,wanasiasa na makundi kedekede.Mfano mzuri tu ni Mbowe.Kwa Mbowe au Lissu yaliyofanywa dhidi yao unaweza kwa urahisi kuwaambia wasiongee au waombe msamaha wakakuelewa?
Vipi wazazi wa Ben Saanane au Akwilina Akwilin nao wasiseme machungu yao?Vipi wake,watoto,wazazi na ndugu wa Azory Gwanda na wengine waliopotea nao wasitoe sumu vifuani?Acheni uhuniuhuni.
 
Mali za 10 billion mchungani anazotoa wapi
 
Badala ya kujali uhai wa mtu wewe linalokusumbua ni brand!
Mimi siyo Mungu na siyajui ya sirini lakini Mwingira ni muongo na mtafuta huruma.

Unatambua dhuluma ya mashamba ya watu aliyopata kufanya?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…