Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Mbona anasafishika vizuri tu??Hasafishiki huyo hata uwe na kichwa cha mwendawazimu!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona anasafishika vizuri tu??Hasafishiki huyo hata uwe na kichwa cha mwendawazimu!
Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?
Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.
Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!
Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Mimi nitakuwa wakili wa MwingiraHuyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.

Kwani wenye hotel ndiyo walimuua binti? Hali itakuwa mbaya kwao kivipi?Kama anao ushahidi wa hayo mauaji hali itakuwa mbaya zaidi kwa wamiliki wa Hotel, wenyewe wanajua bora wanyamaze.
Kakosea sana kutaja brand ya watuMimi nitakuwa wakili wa Mwingira
Shetani bana achaa hasira, mbona tukimsema mungu kwa matendo yake Huwa hakasiriki?? nyie vipi mkiitwa majina yanayoendana na matendo yenu. MnawakaHuyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?
Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.
Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!
Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Kwa nini usiwe "wakili" wao?Ina maana Mwingira ni mjinga sana hadi aongee hivyo?Na bado.Kila aliyeumizwa atatoa sumu kifuani mwake.Wavumiliwe tu kwani hata wao wakati wanaumizwa walivumilia.Bado kuna watumishi wa umma,wafanyabiaahara,wanasiasa na makundi kedekede.Mfano mzuri tu ni Mbowe.Kwa Mbowe au Lissu yaliyofanywa dhidi yao unaweza kwa urahisi kuwaambia wasiongee au waombe msamaha wakakuelewa?Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.
Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?
Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.
Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!
Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Kwa hilo hata mimi nampa like Ndugu Mwingira.Yule Rais aliyekuwa na kichwa kinachofanana na korosho nilikuwa simpendi kwa ushetani wake.Mungu ni fundi kutuondoshea lile dubwasha.Hakika nampenda huyu Mzee, alimtabiria Magufuli kifo na kweli Magu hakukatiza miezi 6 akavuta kamba
Badala ya kujali uhai wa mtu wewe linalokusumbua ni brand!Kakosea sana kutaja brand ya watu
Mali za 10 billion mchungani anazotoa wapiNUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:
1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."
2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketzwa Shambani kwangu."
3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."
4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."
5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."
26/12/2021.
Stay tuned..
View attachment 2058518
Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.
Pia, soma:
Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata
Ushoga wamliza kwa uchungu RC Makonda kanisani Efatha kwa mchungaji Mwingira
Katika ibada inayoendelea kanisa la mchungaji Mwingira Mkuu wa mkoa RC Makonda Amelia kwa uchungu mbele ya madhabau kutokana na matukio mabaya yanayoendelea mkoani Dar ess salaam hasa suala la ushoga === Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo amehudhuria ibada ya kwanza kwa Askofu Mwingira DSM...www.jamiiforums.com
Mimi siyo Mungu na siyajui ya sirini lakini Mwingira ni muongo na mtafuta huruma.Badala ya kujali uhai wa mtu wewe linalokusumbua ni brand!