Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Hakika zama zile zilikuwa ni zama za ujinga. Zama ambazo kila mtu alijawa hofu. Hakika ni zama ambazo sijui vijukuu vyetu tutakuja kuwaeleza nini pale watakapohoji, ilikuwaje mtu mmoja akawa ndiyo Sheria, ndiyo judge ndiye mtoa mahubiri siku za ibaada??
 
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:

1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."

2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketzwa Shambani kwangu."

3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."

4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."

5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."


26/12/2021.

Stay tuned..

====

Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.
Rombo hotel?
 
Back
Top Bottom