Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Watajae kwanza wale waliouawa na wauaji wakajulika...then find a common point...
 
Wahuni ni watu wasiojulikana na ndio hawa wametuulia kipenzi chetu JPM.

#kataawahuni
kwanini JPM alishindwa kiwataja waliompa sumu?

je kwanini JPM hakufatilia waliompa sumu Philip Mangula makamu wake mwenyekiti wa CCM?
 
Nikama vike hali inastaajibisha, hii nchi haijulikanai nani ni nani, naanza kuamini taratibu maneno ya mwingira kuwa inawezekana kuna shetani nchi hii

Hayati Magufuli alisema wazi kuwa alinusurika kuuwawa

Lengai Ole Sabaya nae alieleza mahakamani kuwa alinusurika kuuwawa mara mbili,

Lissu nae alinusurika kuuwawa,

Mzee mangula pia Alinusutika kuuwawa,

Lema alinusurika kuuwawa,

Nabii Mwingira nae alinusurika kuuwawa

Zakaria alinusurika kuuwawa,

lakini cha ajabu hawawataji waliotaka kuwauwa hawakamatwi na mpaka leo hawajulikani,


Nchi hii kuna nini? kuna kundi la watu waliojificha wanatenda haya? je mpaka walitaka kumuua JPM na alipopata Urais akashindwa kuwakamata? Je, waliotaka kumuua Mangula kwa kumnywesha sumu? vipi kwa sabaya?


tuendelee kukaa na kitendawili hiki?

NANI MUUWAJI NCHI HII?
Wasiojulokana🤔.
 
Wahaini na wahuni wamejificha kwenye makanisani, misikitini na kwenye vyama vya siasa... Ndio Wafadhili wa vyama vya siasa, ndio wahubiri makanisani na misikitini na ni wema kweli kweli mwangani.....Ukiwagusa jamii nzima itapiga kelele wanaonewa kumbe masikini hawajui watu hawa huko gizani ndio wanaowanyonya damu...

Dawa ya watu hawa ni kudeal nao huko huko gizani..na kuwamaliza maana ndio chanzo cha Taifa kukwama pia...
Na huu ni ukweli huku hadharani hujifanya wema kumbe ni wahalifu na waharibifu wa nchi kiasi serikali isipokuwa makini nchi haitawaliki, watu ka Hawa ni ku deal nao kimya kimya na wakileta kelele ushahidi uwekwe hadharani
 
Jifunze kuvumilia ukweli, na ukweli huwa unaaumiza hivyo tulia tu.
Sio wewe uwe objectives kwenye mambo kuliko kutumia mihemko Hadi sehemu yenye uhalisia wa mambo
 
Back
Top Bottom