Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Watajae kwanza wale waliouawa na wauaji wakajulika...then find a common point...
 
Wahuni ni watu wasiojulikana na ndio hawa wametuulia kipenzi chetu JPM.

#kataawahuni
kwanini JPM alishindwa kiwataja waliompa sumu?

je kwanini JPM hakufatilia waliompa sumu Philip Mangula makamu wake mwenyekiti wa CCM?
 
Wasiojulokana🤔.
 
Na huu ni ukweli huku hadharani hujifanya wema kumbe ni wahalifu na waharibifu wa nchi kiasi serikali isipokuwa makini nchi haitawaliki, watu ka Hawa ni ku deal nao kimya kimya na wakileta kelele ushahidi uwekwe hadharani
 
Jifunze kuvumilia ukweli, na ukweli huwa unaaumiza hivyo tulia tu.
Sio wewe uwe objectives kwenye mambo kuliko kutumia mihemko Hadi sehemu yenye uhalisia wa mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…