Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Ona huyu mjinga anavyoongea upumbavu
 
Kama usalama hawajui kilichotokea pale basi ni maharage matupu
 
Watu tutambeza nakuwaza ktk kibinandam ila alichokisema Askofu kipo kiroho sana kiasi niwatu wachache sana au uwenda wasimuelewe kabisa...

Ila muda ndio utatukumbusha...

Tuliombee taifa letu kuna kitu kinataka kutokea. Kuna jambo zito linataka kulikumba taifa hili Mungu anajambo lake. Pray for nation
 
Mkuu, nyuzi zako huwa zinanifikirisha sana!
 
Tutakula Wapi Sasa Sisi Ccm
Mlikopeleka mboga!

Ifikie mahali tutambue kama taifa kuwa dagaa mchele , kauzu na maharage ni vyakula kama ilivyo kuku na nyama ya kuchoma ya ng’ombe au mbuzi.

Pia mkeka na hema unaweza kuwa nyumba maana kujisahau kumezidi
 
Hilo jambo kama litaikumba CCM likiwa baya acha liikumbe tu hakuna namna!
 
Yatokee tu ili utawala ubadilike
Katiba yetu imepitwa na wakati. Ni heri ibadilishwe tu.

Huu utaratibu kwamba Rais Akifariki akiwa madarakani, Makamu wa Rais ndio anaapishwa nauona Sio mzuri, Makamu wa Rais anaweza kupatwa na tamaa ya kuchukua nchi kiulaini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…