Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.

Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?

Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.

Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!

Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Unajuaje kama hana ushahidi?
Tuhuma kama hizo unawezaje kuzitoa bila kuwa na ushahidi?
 
Screenshot_20211226-215344.png
 
Back
Top Bottom