Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.

Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?

Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.

Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!

Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.

Screenshot_20211226-220151.png
 
Je aloyasema yapo ?? Ni ya kweli???

Kama ni yakweli kwann akae nayo kimya????.

Akina Mobutu,Iddi Amin , hawa wote walikua pia Ma Rais.

Nadhan kama aloyasema yana ukweli ,kuna HAJA ya kurekebisha .

Siasa zisitufanye tufumbie uovu, penye uovu tukemee, penye mazuri tusifu.

Taifa linapata Laana kwa sababu ya matendo ya viongozi Wetu.

Farao kwa kushupaza kwake shingo, kulifanya wamisir wapitie maisha ya ajabu ajabu.
 
Kama anao ushahidi wa hayo mauaji hali itakuwa mbaya zaidi kwa wamiliki wa Hotel, wenyewe wanajua bora wanyamaze.

Ukweli pekee ndio utatuweka huru. Mwingira sio msafi. Anaishi kwa kutishia na kunyakua mali hata za watu wake
 
waacheni watu wafunguke.
mimi sio mchaga, ila najua kwanini safari hii wachaga wameenda uchagani kwa wingi kusherekea xmas na mwaka mpya huku wakiwa na nyuso zanye furaha/bashasha. yule mtu alikuwa shetani sana.
Aliwatesa Sana Wachagga. Sijawahi kuona shetani kama Yule. Eti kila Jumapili anawahi kanisani na kupitisha kapu la sadaka kinafiki. Hongereni shemeji zangu maombi yenu yalipokelewa kwa Mungu. Chaggas are like Jews. Do not temper with them.
 
Kwani uongo shetani aliyeiba kura amejifia? Kwani uongo anayeongoza sasa ni pacha wa yule aliyekua mwizi wa kura na muuaji.
 
Huyo Nabii wa kujiita ifikie hatua ajiheshimu.

Hivi unaanzaje kumkashfu Rais kwa tuhuma za kijinga namna ile?! Unamuita Rais shetani kweli?

Niseme wazi mm Rais Samia sifurahishwi na baadhi ya matendo yake lakini siwezi kamwe kumvunjia heshima kwa kiwango kile.

Hali kadhalika hugo nabii wa kujiita alivyo mjinga anataja hotel ya watu kwa kuituhumu kwa kashfa kubwa ya mauaji ilhali hana hata ushahidi!

Rombo hotel mshtakini mahakamani huyo mpuuzi.
Usihamishe magoli wewe kenge wa Mwendazake. Rombo hotel siyo habari, bali yeye kutaka kuuliwa, na kisha housegirl kuuliwa na watu wa Magufuli ndiyo Habari. Magufuli was a devil in human form.

Aliyechafuka hachafuliwi
 
Hii ndiyo Mbinu aliyokuwa anatumia Mwendazake kuwaonea na kunyang'anya mali wale aliyotaka kuwashughulikia kwa kuwambikia neno la mafisadi na bahati mbaya waTz wenye akili chache kama za kwako walikuwa wakishangilia na kubariki vitendo vya kinyama vya aina hii.
Mimi na akili chache,
Wewe huna kabisaa
Ni zero aisee
 
Back
Top Bottom