Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Mbn unakereka sana,ulimwendea alikukataa nini?tujuavyo Mwingira ni miongoni mwa watumishi wachache waliokemea dhulma tena akithubutu bila uoga.
Kukemea nini dhuluma huku yeye mhuni mkuu, Mimi sio kahaba useme anaweza ni fata, tumieni akili nyie sio mihemko kuwa mtumishi hakukupi utakatifu, nasema hao wangemtaka akiisha asubuhi tu kwani gwajiboy na yule mdada si alitumiwa akamu record hukuona gwajiboy akihamia ccm.
 
Hakuwa analipa kodi?Kwa nini mali zake za thamani kubwa ziliharibiwa?Kisa cha kumuua mfanyakazi wake ni nini?Mwili wake uko wapi/alizikwa wapi?
 
Hakuwa analipa kodi?Kwa nini mali zake za thamani kubwa ziliharibiwa?Kisa cha kumuua mfanyakazi wake ni nini?Mwili wake uko wapi/alizikwa wapi?
Kwa akili zako kiduchu ukapigia mstari kuwa ni kweli

USSR
 
Aliwatesa Sana Wachagga. Sijawahi kuona shetani kama Yule. Eti kila Jumapili anawahi kanisani na kupitisha kapu la sadaka kinafiki. Hongereni shemeji zangu maombi yenu yalipokelewa kwa Mungu. Chaggas are like Jews. Do not temper with them.
Hakulenga wachaga...yeye aliminya wenye janjajanja tu na bahati mbaya wachaga wengi ndo mkawa victim. Msimlaumu kwa mapungufu yenu..nyie ndio mjirekebishe
 
Hasira za Mwingira ni benki yake ya Efatha kufilisika na ilipoomba loan from BOT ikakutana na kizingiti kwakuwa benki ilikuwa na janja janja nyingi ktk kujiendesha kwake ikiwemo fedha kumiliki baadhi ya mali ambazo ziliingia nchini kwa mgongo wa kanisa na kukwepa kodi nk

Ila hizo porojo za kusema eti watu wa Serikali walitaka kuniua mara tatu apeleke hizi pumba kwa wahuni wenzake, ajue tu kwamba mkono wa Serikali ukikutaka haukukosi
Bank inaendeshwaje kijanja janja mkuu tueleze
 
Back
Top Bottom