Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Ndio anaongea sasa hv….apige kimya au la sivyo tutamuweka kwenye kundi la wahuni..#kataawahuni
Wote hawa ni sehemu ya wale wahuni, why leo na siyo jana?.

👉🏾 Naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
 
Billion 10 rahisi sana. Sasa mkuu watu wameanza pambana tangu hujafikiria ata kua hai sio kila anayepata kaiba au kukwepa kodi.

Tujikite kwenye mada, serikali iliyoisha ilikua ya dhuruma, mateso na kupoteza watu
 
Despite all odds.
Kutetekeza mashamba ni dhambi na laana kubwa sana. Ni ajira ngapi zimepotea hapo. Ni watu wangapi ambao wangepata sehemu y msaada wa chakula wameathirika. Serikali imepoteza kodi kiasi gani kwenye haya mashamba kusimama kazi...
Acha akili ndogo,mashamba yalichomwa na wananchi kwenye mgogoro wa muda mrefu na wananchi masikini baada ya efatha kuzulumu hadi buffer zone.

Benki ya efatha ilifungwa sambamba na mabenki mengine zaidi ya 10 yaliyofungwa na mengine kumerge kwa kutokizi vigezo zikiwemo community banks kama nne, Covenant bank for women, na nyinginezo ikiwemo Twiga bancorp ambayo ni ya serikali.
 
Hizo za bilioni 10 ziliteketezwa na awamu ya 5 , yeye anazo zaidi ya hizo
Ila kutakuwa na kitu kinakuja, kama vile anajihami, ngoja tusubiri. Usikute huyo Dada aliuawa na yeye Nabii sasa labda upelelezi umekamilika wanataka kumshitaki kaja kujihami ili kuhadaa jamii kama alivyodandia katiba Mbowe na ugaidi.
 
Bilion 10 si dola milion 5 hiyo unaona Ni hela ya maajabu kwa madoni
 
Hii clip iko YouTube, tuna watu wanaomba Mungu atupe vitu vya hovyo
Screenshot_20211226-231510.jpg
 
Hakulenga wachaga...yeye aliminya wenye janjajanja tu na bahati mbaya wachaga wengi ndo mkawa victim. Msimlaumu kwa mapungufu yenu..nyie ndio mjirekebishe
Kwahiyo wajirekebishe waache kupambana kwenye maisha wawe goigoi kama waluguru.
 
Yaani, mtu anamuomba Mungu alete kichaa, akadhani kichaa anachagua wa kudhuru, kichaa kamchakaza yeye anatupigia yowe sasa
Hivi huyu Askofu Mwingira si ndiye alikwa na kesi ya kiwanja alichopewa pale Kawe na muumini wake yule wakili maarufu jijini, na alipogundua anatembea na mke wake akafungua kesi ya kutaka kumnyang'anya kiwanja?

Masikini yule wakili aliliwa mke wake na kiwanja na huyu Askofu Mwingira, maana alishindwa kesi ya kiwanja Mahakama iliamua alikigawa kihalali na Mwingira kutembea na mke wake haibatilishi uhalali wa Mwingira kupewa kiwanja!

Nilimuonea sana huruma yule wakili . Askofu wa ajabu sana huyu, tapeli tu, eti anatunza kondoo huku anatafuna wake za waumini. Nashangaa bado watu wanamfuata eti Askofu!
 
Cjasema kitu ila napata mwanga Sasa pakuanzia Ni wap .....hapa kun mtu Ana hasir na huyu anasema ilimradi hasira yake. Ikwishe ila pia kuharibu Zaid na pia yeye anahusishwa katk uporaji wa ardh ..Ni kweli jiwe CYO rais aliendesha inch kihuni
 
Back
Top Bottom