labda kwanza ashuke kwenye mimbari ya kanisa na kujiunga na hiyo cdm yake. akijaribu tu kuendesha hiyo kampeni na kanzu ya uaskofu ndio atajua hapa sio rwanda.
huyu askofu kwanza mkimbizi wa rwanda. usikute anafanya kazi ya kagame. askofu mzima unafunga kibwebwe kupinga jambo la kisiasa ambalo linakubalika na mamilioni ya wananchi....lazima kuna jambo!
Hata kule Rwanda ni maaskofu ndio waliochochea mauaji ya kimbari
Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano
Akiamua kuingia siasa tunamwambia karibu ila asije piga yowe.Sababu tuna uzoefu wa maaskofu katoliki kuongoza na kuleta vurugu hasa Rwanda na kusababisha mauaji ya kimbari.Vurugu zikilipuka ajue hatatambuliwa kama askofu hakuna mwenye muda huo.Ajue vita haina macho nondo na mawe yakianza kurushwa yatarushwa hadi kwenye kiti chake na kofia lake la Uakofu.
Lakini tunajua kuwa kuna maaskofu ambao ni wahamiaji haramu ambao wanataka kulipa kisasi kwa kutimuliwa ndugu zao kwa kisingizio cha katiba mpya.Wametumwa. Na huyo kama ni kweli KASEMA atakuwa ametumwa na M23.Vyombo vya Usalama mzingireni hadi kwenye kitanda anacholala.
angalieni linyani hili la kike nalo likitoa maoni. ivi wewe chabruma aka makonda wa uvccm huoni nchi nzima ikilia mchakato huu kufanywa na ccm kwa manufaa ya ccm haifai na wewe unakejeli. kweli makonda hufai hata kujumuika katika jamii ya wtatanzania
Aliyeongea hayo si huyo Askofu bali boss wwke Lowasa
Huyu Askofu Niwe anajulikana ni mfuasi wa Chadema.Askofu Niwemgizi wa jimbo Katoriki jimbo kuu Rulenge amesema ataongoza kampeni ya kura ya hapana kupinga katiba mpya.
Kweli watufanyie kama walivyofanya Rwanda kuongoza mauaji ya kimbari makanisani.huyu askofu ni wa kuungwa mkono.
Pole kwa upofu wakoAliyeongea hayo si huyo Askofu bali boss wwke Lowasa
Thank you my dear for the BEST ANSWER EVER TO SLEEPING TANZANIANSPaul, Time will be your best teacher.
WHY SHOUT LET US WAIT AND SEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:cool2:Stupid ideas from a stupid mind!
Mbona mnajitia hamnazo sababu ya posho mlizopata na mtatuletea tutakula halafu KATIBA HAPANA. Tulipendekeza mawaziri wasiwe wabunge, mbunge awe na kikomo 2 terms na JAJI MKUU AFANYIWE USAILI KAMA KENYA na imeisaidia nchi hiyo SASA KWANINI NIPIGIE KURA KATIBA AMBAYO IMEKATAA MAONI YANGU LAKINI KATIKA RASMU YA WARIOBA ILIKUWEPO!!!!!!!!!!!!!!!HONGERA MWANASHERIA WA ZANZIBAR NA ASANTE BABA ASKOFU TUKO PAMOJA USIRUDI NYUMAKinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
NADHANI WEWE HUIJUI VATICAN NDIO MAANA UNAONA HAYO..................Nakukumbusha kidogo Marekani ni wababe sana lakini Rais wa Marekani anaomba sala toka kwa Baba Mtakatifu sasa leo unandika uupuzi huu ....pole sana Askofu Niwe Mugizi aluta continua.....................Kasahau Wito wake, Yuko radhi kupoteza Waumini kwa lengo la kuwafurahisha Viongozi wa siasa. Hii ni laana nadhani, Hata Roma ilianza kuporomoka kwa mtindo huo. Anadhani waumini wote wanamuunga mkono?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nawale Marais wastaafu WALIOKACHA YA UPUUZI WA JANA ni wafuasi wa..........................................CDM?:A S wink:Huyu Askofu Niwe anajulikana ni mfuasi wa Chadema.