Askofu Niwe Mugizi jimbo Katoliki Rulenge Ngara Kagera, kuongoza kampeni ya kupinga katiba mpya

Goliath kamtukana Mungu acha tuone kama atashinda!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unaongea tu wewe,ila hulijui kabsa kanisa katoliki,kuna mwanausalama gani nchi hii anayeweza kumkamata kiongozi wa kanisa katoliki??unafikiri hao wanausalama wanatoka wapi?? Rais wako na mwenyekiti wa chama chako mwenyewe alienda vatican kutambika,halafu dogo unaongea ongea tu kama ulianza kutoa miguu badala ya kichwa..nchi hii atakapotoa kauli askofu wa kanisa katoliki ni tofauti na kauli ya maaskofu uchwara wala mashehe. Katoliki wakiamua wameamua,then vichwa vya wakatoliki wengi viko flexible na asilima kubwa wameenda shule na mchango wa hilo kanisa kwenye nchi hii hauelezeki. Acha kuropoka
 
Reactions: jme
Wewe kweli mpumbavu inatosha tu kukwambia hivyo.

Heko,ni Mpumbavu Haswa,na Hawa Ndo Kikwazo Cha Maendeleo Ya Tz, Fikiria Hadi Mwanasheria Mkuu Ambae Ni C.C.M Tena Yupo Madarakani Kakubari Kuachia Maulaji Na Miposho Ya Mamilion Kwa Jambo Hl La Katiba Kaiona Haina Tija Anatokea Huyu Mpuuzi Kuleta Upuuzi Wake Humu.
 
Mburula jingine hili hapa. Yeye kasema atahamasisha waumini kupiga kura ya hapana kwa katiba mpya. Haya ya vurugu umeyatoa wapi? Hii ni hasara kubwa sana kwenye hii nchi kuwa na makitu yaliyozoea kutisha waoga tu. Mwisho wenu unakaribia.

mi Naona Hilo Ni Zaidi Ya Mburula, Sijui Ni @.
 
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Kwahiyo Lowasa anapinga hii katiba pendekezwa?
 
Angekaa kimya msingemfikiria kama mhamiaji haramu.
 
Kinachokera ni kuona viongozi hao wa kiroho wakitoa matamko baada ya kushinikizwa na mtu anayeutamani urais kwa udi na uvumba
mkuu kwani mtu huyo si alipiga kura ya ndio kabla ya kwenda kuanza ziara?
 
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano

Umesharudisha simu za watu?
 
Ebu mweke wazi huyo askofu muhamiaji haramu ajulikane hapa tumjue ili tuamini ulichosema..
 
kikwete katufikisha pabaya sana hafai hata kidogo,kweli nyerere aliona mbali.
 
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake
Kwani Lowassa(fisadi mwizi) anaipinga katiba?
Mbona ni miongoni mwa wapiga vigelegele wenzako?

Vote No
 
Yeye apinge kwenye ballot box na si kuhamasisha waamini wake waungane na mawazo yake ya kipumbavu. Yeye kala mlungula wa Lowasa. Asianze kuwalisha sumu wenzake

Wewe mbona umekula mlungula kumponda lowasa,na unawalisha sumu mazwazwa menzio?muache baba askofu atoe elimu kwa kondoo wake waelewe upuuzi wenu mnaolifanyia taifa hili.
 
Haitoshi tu kusema kuwa nina mawazo ya kipumbavu ilhali umeshindwa kuyaainisha. Viongozi wa kidini wanapaswa kuhubiri amani, upendo na mshikamano na si kuhamasisha vurugu, utengano na mfarakano

Hebu tuambie,ni wapi na kivp baba askofu amehamasisha vurugu,na utengano,na hiyo mifarakano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…