Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Askofu anajielewa. Kwa kile kilichotokea baada ya Kayafa kukaa madarakani, ni lazima sasa tuwe na misingi imara kutokea kwenye katiba.Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi .
Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki
Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo .
Siku zote, yanayotakiwa kusubiri ni yale yenye umuhimu mdogo. Kwa Tanzania, kwa namna tulivyoshuhudia uovu wa marehemu dhidi ya Taifa, hakika katiba ni hitaji la kwanza ili tusije tulatendewa vile vile na mtawala mwingine.mama ameshasema msubiri kwanza.
Siku zote, yanayotakiwa kusubiri ni yale yenye umuhimu mdogo. Kwa Tanzania, kwa namna tulivyoshuhudia uovu wa marehemu dhidi ya Taifa, hakika katiba ni hitaji la kwanza ili tusije tulatendewa vile vile na mtawala mwingine.
Kila wakati tutamke TUNATAKA KATIBA MPYA.
SwadaktaSiku zote, yanayotakiwa kusubiri ni yale yenye umuhimu mdogo. Kwa Tanzania, kwa namna tulivyoshuhudia uovu wa marehemu dhidi ya Taifa, hakika katiba ni hitaji la kwanza ili tusije tulatendewa vile vile na mtawala mwingine.
Kila wakati tutamke TUNATAKA KATIBA MPYA.
Niliona hii kitu huko Instagram ila mchangiaji mmoja aliniacha hoi pale alipocoment kuwa askofu anajua kama kuna watu biblia wanaona imekosewa sehemu fulani hazieleweki, angefanya juu chini bible nayo ikabadilishwa kwanza ili ieleweke l.Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi.
Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki.
Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo.
Ugumu uko sehemu moja tu! Ana ujasiri wa kwenda kinyume na Wahafidhina wa CCM ambao wanatambua fika ile Rasimu ya Jaji Warioba ndiyo kitanzi cha chama chao?Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi.
Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki.
Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo.
Hivi hawa wanaoitwa Wahafidhina ndani ya ccm ni akina nani ?Ugumu uko sehemu moja tu! Ana ujasiri wa kwenda kinyume na Wahafidhina wa CCM ambao wanatambua fika ile Rasimu ya Jaji Warioba ndiyo kitanzi cha chama chao?
Na akiridhia ipitishwe ile Katiba iliyojadiliwa na Makada wa CCM pekee, itakuwa na faida gani kwa Wananchi! Maana vitu vingi vilivyo kuja kuchomekewa baada ya UKAWA kutoka mle bungeni, ni vya kijinga na havina tofauti na vile vya hiyo Katiba mbovu ya mwaka 1977!
Ni hao ambao waliwahi kuwa viongozi wa chama na serikali na sasa wamewarithisha watoto wao hizo nyazfa. Wapo wengi tu. Ukifuatilia kwa ukaribu utawagundua.Hivi hawa wanaoitwa Wahafidhina ndani ya ccm ni akina nani ?
Be cool my fellow friend, niny huwa mnazungumzia haki gan!!!? Mtu mwenyew anatakiwa kuzungumzia dini na siyo siasa yey si mwana siasa,,, in fact dini na siasa havita kiwi kwenda pamoja vitu hivi,Uwezekano mkubwa ni kuwa hujawahi kuwa na imani nao, na wala hutakuja kuwa na imani nao kama ni mtu unayechukia haki.
Viongozi wa dini ni lazima wahubiri haki, upendo, amani ya mwili na Roho; muhimu zaidi wapinge na wakemee bila woga uovu wote unaotendwa na mwanadamu bila ya kujali cheo chake, utajiri wake au hali yake yoyote.
Wakati tunawasifu baadhi ya viongozi ambao wakati wote walikemea uovu wa uongozi wa awamu ya 5, tunawalaumu kwa uoga na unafiki viongozi wote wa dini waliokuwa wakijishakamanisha na utawala dhalimu wa awamu ya 5. Mungu ni mwenye huruma, wanachotakiwa kufanya hata sasa, ni kuujutia na kuutubia uovu ule.
umetoa wapi hayo ?Be cool my fellow friend, niny huwa mnazungumzia haki gan!!!? Mtu mwenyew anatakiwa kuzungumzia dini na siyo siasa yey si mwana siasa,,, in fact dini na siasa havita kiwi kwenda pamoja vitu hivi,
Sikuhz viongozi wa dini wanajinadi mno kwenye siasa had nakosa imani nao
Ww ni masalia wa zile siasa za yule dhalimu aliyeko motoni, ndio maana unaposikia mtu akiongelea haki unamtazama yeye, na sio ujumbe wake. Ni kawaida kwa nyie watu madhalimu kumchukia mtu yoyote anayeongelea haki.Be cool my fellow friend, niny huwa mnazungumzia haki gan!!!? Mtu mwenyew anatakiwa kuzungumzia dini na siyo siasa yey si mwana siasa,,, in fact dini na siasa havita kiwi kwenda pamoja vitu hivi,
Ya kaisari wampe kaisari. Acha kupayuka hovyo ndugu.Siasa ndio inayotumika kupanga maisha ya watu, iwe mabaya au mazuri, katika mazingira hayo unawezaje kutenganisha viongozi wa dini na siasa?
Huyo Askofu ni Askofu koko suluhu ni watu kuiamini injili sio katiba.Yesu aliwatuma waende kuhubiri watu waiamini injili.Askofu anahubiri watua waiamini katiba mpya aisee!! Yesu alikuwa sahihi alusrma je Mwana wa Adamu akirudi ataikuta imani? Huyu anayejiita Askofu imani keshaitupilia mbalu
Ya kaisari wampe kaisari. Acha kupayuka hovyo ndugu.
Hao ni waunini wasiojua dini vizuri sasa ukiona kiongozi wa dini tena askofu yuko kieango cha waumini hapo kuna shida.Huyu Askofu ni zero hajui hata kuwa Askofu maana yake nini?Wale viongozi uchwara wa kisiasa wanaokwenda kuhubiri kwenye madhabahu, kwani kule ni sehemu ya majizi ya kura? Kwanini wasiache kuhubiri ule uhuni wao kama siasa na dini hazichangamani? Askofu piga mawe hayo majizi ya kura mpaka yasambaratike.