Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

Sioni uhusiano wa support ya kisiasa na Mbowe kuporwa 2b. Huna jipya bali naona unaongea utoto tu.
Ok, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani anapotoa hotuba wewe unatarajia nini kama inaimpact katika jamii? Acha kujifyatua.
 
Huyo Askofu ni Askofu koko suluhu ni watu kuiamini injili sio katiba.Yesu aliwatuma waende kuhubiri watu waiamini injili.Askofu anahubiri watua waiamini katiba mpya aisee!! Yesu alikuwa sahihi alusrma je Mwana wa Adamu akirudi ataikuta imani? Huyu anayejiita Askofu imani keshaitupilia mbalu
Huyu ndio alimzika mtu wenu
 
Sioni uhusiano wa support ya kisiasa na Mbowe kuporwa 2b. Huna jipya bali naona unaongea utoto tu.
Huyo kijana ana hoja duni sana , huna haja ya kuhangaika naye , ni ingizo jipya au Njuka
 
Mama alishakataa hilo jambo,japo alikuwa ni mjumbe wa katiba mpya ni hadi mfumo ukimtupa atakapoelewa umuhimu wa katiba mpya.Thus tumeshuhudia waliowahi ikataa katiba mpya wakiwa madarakani walipokuwa nje ya madaraka wakaja itamani tena.
 
Tunamshukuru kwa Ibada ya Mazishi.Ila viongozi wengine waige mfano wa huyu askofu,naonaga anaongea ukweli mtupu,ambayo ni sifa ya mhimu sana kwa kiongozi mkubwa wa dini.maskofu wengi ni waoga sana,hasa linapokuja kutoa hoja ambayo itatofautiana na viongozi waandamizi wa serikali.

Ila mara hii hata nyang'anywa pasport
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! mtu unamteka halafu anakuzika yaani !
 
Huyo kijana ana hoja duni sana , huna haja ya kuhangaika naye , ni ingizo jipya au Njuka
Ahaaa, sasa kama nchi inapora mali za wafanyanyabiashara na mkuu wa chama cha upinzani amehutubia wananchi si wangeandamana?
 
Hii sio nchi ya kidini
Huyo Askofu ni Askofu koko suluhu ni watu kuiamini injili sio katiba.Yesu aliwatuma waende kuhubiri watu waiamini injili.Askofu anahubiri watua waiamini katiba mpya aisee!! Yesu alikuwa sahihi alusrma je Mwana wa Adamu akirudi ataikuta imani? Huyu anayejiita Askofu imani keshaitupilia mbalu
 
Mbowe aliongea mengi mojawapo ni kuporwa bil 2 ambazo kihalisia hajaporwa. Nia hasa ni kuonyesha kuna utawala usiofaa ni tarajio lake kuwa angewin support ya umma.

Ila nakuhakikishia katiba mpya ni kisingizio tu. Chadema ilishapoteza legitimacy mbele ya umma.
Sawa umetumia uhuru wako wa kikatiba kuandika, lakini hujautendea haki Ubongo wako. Huo uharo hata MATAGA na Lumumba buk 7 wameacha kuandika siku hizi baada ya Rais SSH kuonyesha dira mpya
 
Sawa umetumia uhuru wako wa kikatiba kuandika, lakini hujautendea haki Ubongo wako. Huo uharo hata MATAGA na Lumumba buk 7 wameacha kuandika siku hizi baada ya Rais SSH kuonyesha dira mpya
Ujumbe umeupata ndio maana umeamua kubwatuka kama mnyeo unaharisha. Lakuni response ya wananchi unaijua ilivyo. Habari za Mataga na Lumumba ni juu yao kutoandika. Mimi naongelea hali halisi.
 
Back
Top Bottom