Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Papa kila mara ana lalama na kuomba msamaha kwa huu ushenzi wewe unasema uongo ?, Sijui kati ya papa na wewe ni nani anaye lijua vizuri zaidi kanisa, jiulize kisha jijibu mwenyewe.


: Akili/Rangi
Bado nakukatalia, endelea na mambo mengine.
 
Bado nakukatalia, endelea na mambo mengine.
Wacha nianze kukuletea ukweli.

Kazi kwako kuziba macho usisome au kuupuuza maana hii ndio sifa ya kufia dini au imani kuupuuza hata ukweli.


: Akili/Rangi
 
Hapa hakuna cha sifa ya kufia dini au imani acha kulichafua Kanisa.
 
Safi, sasa hizi ni moja ya mizizi!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ni muhanga wakufanyiwa vitendo hivyo so Fanya haraka katoe mashitaka hao viongozi wa kanisa wakamatwe.
Na itakuwa ni lazima uende na kithibiti mkononi.
OK.Tunazungumzia heading inayonadi: Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani.

1. Rais Ruto anapinga ushoga hadharani i.e. Rais huyo ametamka hadharani kwamba anapinga ushoga.

Je, amesema atatumia Mkakati gani -amejipangaje kutekeleza azma hiyo? au kasema na imeishia hapokama kawaida?
 
Huyo Papa Francis mumwondoe tu maana kauli zake tata anaabisha Injili ya Kristo.
 
Ndyo walifanya vizuri unaenda wapi?? Baki huku huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had baas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…