ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Kuukataa ukweli hapo ndio sio kweli, lakini nilicho andika huo ndio ukweli.Siyo kweli kabisa tatizo lako unachukulia mambo juu juu.
: Akili/Rangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuukataa ukweli hapo ndio sio kweli, lakini nilicho andika huo ndio ukweli.Siyo kweli kabisa tatizo lako unachukulia mambo juu juu.
Hakuna ukweli hapo.Kuukataa ukweli hapo ndio sio kweli, lakini nilicho andika huo ndio ukweli.
: Akili/Rangi
Hakuna ukweli hapo.
Bado nakukatalia, endelea na mambo mengine.Papa kila mara ana lalama na kuomba msamaha kwa huu ushenzi wewe unasema uongo ?, Sijui kati ya papa na wewe ni nani anaye lijua vizuri zaidi kanisa, jiulize kisha jijibu mwenyewe.
: Akili/Rangi
Wacha nianze kukuletea ukweli.Bado nakukatalia, endelea na mambo mengine.
Safi, sasa hizi ni moja ya mizizi!Hawa ndio visababishi vya ushoga.
1-SINGLE MOTHER'S :hawa wanachangia malezi mabovu ya mtoto utakuta mtoto wa kiume anapakwa wanja,lip stick wao wanafurahi tu wanaona kawaida.
2-BOARDING SCHOOL:kuanzia kindergarten-primary school...hizi shule ni viwanda vya kuzalisha mashoga mtoto ana miaka 5 mpaka 13 unampeleka boarding ili iweje? Umri huo ndio umri sahihi wa mtoto kuwa pamoja na wazazi muda wote wote kupata malezi stahiki.
Boarding ni maalumu kwa secondary tu.
3:MALEZI: mtoto wa kiume usimlee kimayai mlee kikatili peleka shamba,lima bustani,chota maji,pikia mbwa chakula,safisha mabanda ya kuku lisha kuku,kama upo ktk ujenzi mwambie amwagilie maji matofali kila siku mfanye mwanao awe busy kila muda.usimlee mtoto kimayai inatakiwa ajione tofauti na mwanamke.
4-USWAHILINI:Halina ubishi uku ndio mashoga wanapozalishwa kwa kasi ya ajabu.
Kazi kwakoHapa hakuna cha sifa ya kufia dini au imani acha kulichafua Kanisa.
Mathayo 5:10-12Kazi kwakoView attachment 2536067View attachment 2536068
Inatosha au niendelea kwa rundo la nchi mbalimbali duniani mpaka makao makuu Vatican ?
Ushenzi haupaswi kutetewa kwa vimaandiko uchwara.Mathayo 5:10-12
Na itakuwa ni lazima uende na kithibiti mkononi.Na wewe ni muhanga wakufanyiwa vitendo hivyo so Fanya haraka katoe mashitaka hao viongozi wa kanisa wakamatwe.
OK.Tunazungumzia heading inayonadi: Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani.Hivi tukisema nchi ina tatizo la umeme maana yake hakuna tatizo la maji, afya kupo sawa, ulinzi upo n.k?
Kwani Marekani waliopitisha sheria za kuruhusu ndoa za mashoga wana shida gani? Maadili ni sehemu jambo mtambuka na unapopambana na mambo mengine huwezi kuvua mambo ya maadili hadi umalize matatizo yako.
Hapa tunazungumzia ushoga, hayo mengine fungulia uzi wake tuje kujadili.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Sawa,kwa hiyo?Kanisa katoliki lina ongoza kwa vitendo vya kishoga na ulawiti.
: Akili/Rangi
WaacheSawa,kwa hiyo?
Kabisa!##Kataa ushoga##
Huyo Papa Francis mumwondoe tu maana kauli zake tata anaabisha Injili ya Kristo.Kwani Papa anaunga mkono ushoga? Alafu Papa hata kama akiunga mkono ni yeye sio mafundisho ya Kanisa ambayo tunapaswa kufuata.
Papa kauli yake kukubalika kama kauli ya Kanisa lazima iwe na vigezo yaani isiwe kinyume na maandiko wala mapokeo.
Hata hivyo Papa Francis amekuwa kwenye kitimoto cha kupingwa waziwazi na maaskofu kwa jinsi anavyofafanua mambo, badala ya clarity inakuwa confusion!
Kwasababu vita ni kupinga ushoga tubakie kwenye kupinga ushoga bila kuangaliana usoni, dini, wala Utaifa.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ndyo walifanya vizuri unaenda wapi?? Baki huku huku.apo MSD wanapewa KY bure hela.wameshalipa mabeberu na serikali inajua kabisa na hawana cha kufanya cha muhimu kila mtu aipiganie familia yake na jamii yake inayomzunguka kuondokana na ili janga tukisema tuitegmee serikali tutashangaa mitaala ya kufundisha jinsi ya kufanya ushoga imeanzishwa mashuleni awa jamaa wananguvu na wanafuatilia kinoma nakumbuka kuna punga moja kule instagram nililitukana sana yeye pamoja NGO yao cha ajabu kuna nafasi zilitokea pale job za kwenda Luxembourg nilinyimwa VISA na wakanichana kabisa sababu ya kuninyima ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amevurugwaa mpaka bas.Naona Bado DC anakufata fata itabdi tufike ofcn kwake Moja kwa moja ukamtukane live
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chafya...[emoji1784]View attachment 2535850
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had baas.Na ashawajulia manyumbu wake wanapenda MIHEMKO ya kupinga ushoga bila kutumia akili, basi na kenyewe kakapiga kambi humo humo.
Manyumbu yanapiga makofi huku yanaibiwa! Na mwakani anastaafu anamuachia mwanae kiti cha Urais.
Uganda the Dynasty!!! Kalaghabao!!