Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

Askofu Shoo (KKKT): Viongozi wote waliokuwa VIFUTU kipindi cha Magufuli basi wajiandae kuondolewa

MATAGA hamtusumbui tena maana tushajua jinsi ya kuwashughulikia
Jipeni tu moyo kwa hii half time rudini dakika 45 zilizobakia tuwanyooshe. Yote yalifanywa na Hayati yalikuwa chini ya mamlaka ya rais, CCM ndio chama tawala na ilani ni ile Ile.

Bwana ametoa, bwana ametwa eeh mungu umpe mpendwa wetu raha ya milele

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ila huyu jamaa simuelewagi kabisa, agombee ubunge tuu maana siobkwa kuchanganya huku madawa. Huwezi kuwa nusu mlokole nusu mganga chagua moja.
 
Jipeni tu moyo kwa hii half time rudini dakika 45 zilizobakia tuwanyooshe. Yote yalifanywa na Hayati yalikuwa chini ya mamlaka ya rais, CCM ndio chama tawala na ilani ni ile Ile.

Bwana ametoa, bwana ametwa eeh mungu umpe mpendwa wetu raha ya milele

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sema wako siyo wetu
 
Mahubiri lazima yaakisi maisha halisi ya jamii.....dini na imani zinahusu maisha yote yote ya watu.... Ndio maana viongozi wa kisiasa hawakauki Mimbarani,hawakauki kuwaaihi watumishi wa dini/imani waombe kwa ajili ya mambo yote. Wewe ndiye unayetaka kutenga Si-hasa (maisha ya watu) na Dini/imani. KAMWE HUWEZI TENGANISHA VITU HIVI.
Maisha halisi ya Ukristo ni matendo mema yenye huruma,injili na siasa ni kama mafuta na maji.

Now ni mama samia mpeni support tujenge nchi.
Kwa hiyo watumishi wakiona fulani alikosea na wao wanafanya the same ndio walivyoagizwa?
So wanahubiri upendo na msamaha wakati wao hawawezi samehe?
 
Iwe pasaka njema kwako. Amesahau yale majibu yake pia [emoji23]
Mazezeta wa lumumba ni kiumbe wa ajabu sana wanasahau hata walichokiropoka sekunde mbili nyuma 😂😁😁😁😂😂
 
Baraza la mawaziri mlimshauri mama Samia alivunje au awateme baadhi ya mawaziri msiowapenda kama Mwigulu,Kabudi n,k lakini akawaacha.
Sasa tusubiri ma RC na DC mliowapendekeza hapa kwenye comment zenu kama mama Samia atatekeleza mnachotamani?
 
Zama za kuitwa ikulu kwenda kushangaa tausi na kula visheti vya hiriki zilishapita. Mtaendelea kufinyangwa mpaka muujue uzalendo wa nchi hii.
 
Hapo sasa ndiyo unajidhihilisha uzumbukuku wa MATAGA wa lumumba
Kwaiyo amchague Mbowe, Mnyika, Sugu wawe RC?

Naona akili zako ndogo uwakatae hao au achague wengine lakini awatoki nje ya CCM, aidha walipelekwa upinzani kwa kazi maalumu au watoke ndani ya CCM ndio wanapewa UONGOZI.

Na mama atabaki kuwa MWANACCM si vingine
 
Back
Top Bottom