na huyu anataka land rover🙄Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.
Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Lile V8 ulilopewa bado unalo au unataka jingineAkiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.
Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Akili yako haifanyi kaziNatamani sana katiba ibadilishwe, Tanzania tuwe na Malkia wetu wa kwanza, mama Samia Suluhu Hassan.
Na yeye alishapewa gari la kifahari muda si mrefu uliopita. Sikumbuki alipewa na nani.Kaona sheikh kapewa discovery 4 kaona isiwe tabu .
Mambo ya ajabu sana🤣!Kaona sheikh kapewa discovery 4 kaona isiwe tabu .
Aisee!!!Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.
Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Mwenzio ana LC 300 mpyaaa!Kaona sheikh kapewa discovery 4 kaona isiwe tabu .
Nakuingia mkono askofu, kutokana na mfumo na utamaduni wetu uliotengenezwa na ccm, labda mambo yalibike sana.Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.
Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Nyie machawa mtasababisha machafuko mjiue maana kuna watu umri unakwenda na hawaoni dalili ya kuingia pale.Vipindi vitatu vya kikatiba kwa hio mpaka 2035 huko, hiki alichopo ameshikilia tu pale palipoachiwa kwa hio ana vipindi vingine viwili mbele
Acha kuongea usiyoyajua wewe..Askofu Dr Shoo kajiongezea miaka 6 Kuongoza Dayosisi kinyume cha Katiba
Na hakunaga wa kumgusa Hapo Kaskazini
Jamaa ni Mtemi sana 🐼
Analo alichangiwa na watu mashuhuri tu..akiwemo mzee wa Anga mwenyewe..Ila Askofu Shoo tangu mwanzo kabisa alionesha kumkubali sana mama..Na ninakumbuka safari za mwanzo mama alienda Moshi akakutana na na Baba askofu na viongozi wengine wa Dayosisi hiyo wakati wakizindua jengo kwenye Hospital ya rufaa KCMC..Maweeh
na huyu anataka land rover🙄
Anasemaje! Kwa sababu gani mpaka ukawa mpango wa Mungu kiongozi afe?Akiongea katika Ibada ya kuwaaga Watumishi wa Dayosisi ya Kati, Singida Majini, amesema Raisi Samia hakuingia madarakani kwa bahati mbaya Bali kwa Mpango wa Mungu.
Amesema Raisi Samia haitaji kufanyiwa uchawa wa kinafki na kampeni za kinafki, maana kuwepo wake ni kwa kibali Cha Mungu mwenyewe.
Alioneshwa kuwa Raisi Samia ataongoza Nchi kwa Vipindi vyote vya kikatiba. Na kwa mkono wake atatenda mambo makubwa pengine kuliko hata viongozi waliomtangulia.
Kwa maelezo yake anasema kaonyeshwa rais atatenda mambo makubwa kwa mkono wake. Kwahiyo alimaanisha kinyume chake au??Ana maanisha kama kuuza Bandari,mashirika ya umma na mengine makubwa kuliko hats watangulizi wake ikiwemo kuuza ardhi kwa waarabu!!
Ile Aliyopewa kwa sadaka baada ya kustaafu afu aka endelea kushikilia cheo ..mstaafu ana endelea kushika cheo hili baadae arudi kwenye nafasi yake 😅😅makanisa ya ovyoMwenzio ana LC 300 mpyaaa!
Alipewa na akina Mbowe na Halima Mdee 😂Na yeye alishapewa gari la kifahari muda si mrefu uliopita. Sikumbuki alipewa na nani.
Hapana Kikatiba Rais Samia anaruhisiwa kuongoza..Awamu 2
1. 2015 - 2020 akiwa na magu
2. 2020 - 2025 bila Magu.
Hiyo ni awamu ya tano ya vipindi viwili!