Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

Hiyo ufufuo sio ya Gwajima kweli??
Gwajima kwasabb ni mbunge wa ccm hawezi kutoka front mwenyewe anawatuma hawa chawa wake
Gwajima ni askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima hivyo hahusiani na hawa maaskofu wa kanisa la Ufunuo, angalia hiyo chapa ya kanisa la Ufunuo kwa hiyo picha hapo chini.
 

Attachments

  • Screenshot_20230822-133523.png
    499.1 KB · Views: 2
Waache kujiiendekeza
Hawatambuliki duniani hata mbinguni
Njaa zitawaumiza
Hatuwasikilizi hao matapeli wa dini
Kanisa Katoliki limeongea Nasi tumesema Amina Mwanakondoo ameshinda
 
Badala ya kusema uzuri au ubaya wa mkataba wa DPW yeye anawashambulia TEC. Akili za mbuzi hizi
 
Kuna takataka nyingine nimeisikia inalalama tu kuwa ooh wakatoliki sio dini kubwa, kwani nani anapambania udiki kubwa. Hivi huwa ni nani ana approve vilaza kama Mzee wa Upako kuwa wachungaji. Nikagundua kuwa kumbe ana sababu yake binafsi. Huyu mzee wa Upako kachanganyikiwa lolss. Inaonekana kalewa ktk press yake leo dahhh.
 
Si ajabu mpumbavu kama huyu hata waraka wenyewe hajausoma anadandia gari kwa mbele. Watu kama hawa ndiyo wanawafungisha waumini wao hadi wafe wakati wao wanaotesha vitambi kama masimtank.
Hawa watu wanaolala na kuamka, wanajitangaza wachungaji, manabii, maaskofu na mitume, ni shida tu. Hawa ni matapeli wabaya kuliko hata tunaowafahamu.

Serikali kama imefikia mahali pa kiwatafuta wachungaji wa ajabu ajabu kuitetea, lazima ipo kwenye hali ngumu sana.
 
Hayo Mavazi alivyovaa yenyewe ni ya kanisa la Roman inaitwa " ROMAN COLLAR"
 
Sasa huyu ni Askofu gani ?!. TEC wameainisha mapungufu ya mkataba, na kisha kumuomba mh. Rais aingilie kati . Na ni baada ya bunge kushindwa kujuwa wajibu wao. Halafu anakuja mtu anajiita naye ni Askofu kwa kushambulia wenye hoja. Badala ya kujibu hoja zao !!
 
Suala la bandari linakuwaje la kisiasa.Serikali imeachana na kina Mwijaku imeamua kutuletea akina Yesu wa Tongareni!
 
zero brain yani sufuri kabisa, vita ya ukraine na urusi wameanzisha maaskofu wasomi, shenzi kabisa vita ya kikabila vya ethiopia wameanzisha maaskofu wasomi facken, umejianzishia tu kanisa baada ya kufeli mara mbili darasa la saba unapambana na wasomi wa seminary, potelea mbali huko, hao wanasiasa wasikemewe uhuni kwanini wao kina nani wakizingua waraka utatolewa tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…