Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

Ukishaona press, ITV, TBC na Channel Ten wapo ujue huyo ni kada wa ccm. CCM huzoa kila aina ya takataka inayoisifu.

Hata mie nilipoona mic [emoji441] ni za hao basi nikajua hata huyo mtoa tamko ni wale wale kanisa lisilo na umri hata miaka miwili kwa ujumla anatumika na kutaka umaarufu tu
 
Kwenye suala hili la Bandari, kumeibuka mivutano ya kidini mikubwa baina Waislam v Waikristo, Wakatoliki v Walutheri n.k hasa kwa 'raia wa mitandaoni' (Netzen). Mivutano hii ya kishabiki wa Kiimani imenipa jibu moja tu, HATUIJUI DUNIA.

Ustaarabu wa imani unaongozwa na kanuni hii:

IJUE DUNIA KABLA YA KUITAFUTA IMANI.

Nini maana ya kuijua dunia?

Ni kujua historia na chimbuko la ulimwengu huu kwa dhana zote; ni kujua mtawanyiko wa makundi ya watu na kujua kanuni zilizochochea mtawanyiko huo na mionekano yake; ni kumjua mwanadamu-kimaumbile(bailojia na fisiolojia), kifikra(saikolojia), kimahitaji (uchumi), kimahusiano (sosholojia); kujua miongozo na utofauti wa jamii zinavyojiratibu na kujitawala na kadhalika..

Ukishamjua mwanadamu na ulimwengu (dunia) yake, ndio sasa uitafute imani.

IMANI BILA KUIJUA DUNIA NI VURUGU.

MWENYE IMANI PASI NA KUIJUA DUNIA NI KIUMBE DUNI NA HATARI.

Tuweke juhudi katika kuijua dunia.

Tuijue dunia kwanza ndipo tuitafute imani.

Alamsiki!
 
Huyu sio mbeba mizigo wa kariakoo sokoni kweli au wamefanana tuu
 
Unapenda ishu za ushoga sana

Wanaopenda ni hawa

Pope Francis Said Homosexuality Isn’t A Crime—Here’s What Else He’s Said About LGBTQ Issues​

Conor Murray
Forbes Staff
I'm an explainers and trends reporter for Forbes.

Jan 31, 2023,03:57pm EST

Topline​


Pope Francis made the news last week for saying homosexuality is not a crime, the latest in his history of adopting a softer tone on LGBTQ issues — though he’s maintained the traditional stance of the Church that acting on homosexual urges is a sin.



Pope Francis greets the weekly audience in St. Peter's Square in Vatican City.

Pope Francis greets the weekly audience in St. Peter's Square in Vatican City. (Photo by Franco ... [+]

Getty Images


Key Facts​


Pope Francis again made headlines for his comments on LGBTQ issues last week, declaring it “unjust” to criminalize homosexuality (though he reiterated the Church's stance that it is a sin).



After ascending to the papacy in 2013, Francis has frequently made comments urging Catholics to welcome LGBTQ members to the church and has supported civil unions for same sex couples — though not marriage—a notably softer approach than previous Church leaders, who frequently characterized homosexuality as a sin.
 
Mimi ni mkristo ila ninavyofahamu Mimi Catholic ni wafanyabiashara hapa Africa nasio watu wa imani.

Ni taasisi iliyopo tanzania kufanya biashara na kutekeleza ajenda zake zilizonyuma ya pazia.

Hawa jamaa hawanashida na uwekezaji wala mkataba, wanashida na uislamu, wanahisi ujio wa warabu kama wawekezaji unakwenda kupandikiza kitu nchini ambacho kinamlemgo wa kudidimiza agenda zao.

Na hili ni agizo kutoka juu, kama yalivyomaagizo mengine
 
Hawa kweli wa kuhurumiwa baadala wajadili mkataba uliopingwa na TEC wao wanaushambulia ukatoliki.
Kwa sakata hili la Bandari, nimepata majibu niliyojiuliza bila majibu namna babu zetu walivyochukuliwa utumwani bila ya kipingamizi huku wakiwa na uwezo wa kujihami ama kukimbia!

Na namna mashule yalivyozagaa nchini, nilidhani jamii imeelimika, kumbe dhana zangu hazipo sahihi.
Dah!
Kumbe kuwatawala utakavyo raia wa Tz ni rahisi sana!
 
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.

Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.

"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.

Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.

Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa, washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."

[emoji2424] Askofu Charles Fortunatus

View attachment 2725068
Wapuuzi ni wengi. Walikuwa wanaosubiri wengine washauri ili wajitokeze kama chawa! Acheni kujikomba. Tatizo ni hivyo vibanda vyenu mnavyoviita makanisa !!
 
Hekima ya Mungu Ni upumbavu kwa wanadamu na upumbavu wa wanadamu ndo hekima ya Mungu. Kila Jambo unaloliona Ni ujinga ndo Mungu alifanya hivo sbb hata siku ya Mungu sio Nuru Ni giza.
Mungu hadhihakiwi,Mungu atabaki kuwa Mungu na hata siku moja hatabadilika,alichokianzisha yeye kitadumu milele na kwa kweli hakuna mwanadamu yeyote iwe kwa Rushwa,Nguvu za Dola au Vita atakayeweza kupingana na Mungu maana mambo yake ni adili na sheria zake ni kamilifu.
 
Ukifuatilia episodes za huyu mwamba wa Mungu mnaweza kupoteana. Yule zumaridi kwa huyu ni malaika. Dunia ina mambo mengi
Yaani acha tu, huyu jamaa ni pure witch na anaukomazia kwenye vinena vya wamama. Na akishamtafuna, biashara zote za huyo mama lazima ziporomoke.
 
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.

Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.

"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.

Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.

Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa, washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."

[emoji2424] Askofu Charles Fortunatus

View attachment 2725068
Mwenyewe anaonekana ni mla shisha.
 
ktk serikali corrupt, kila mmoja hujaribu kujipendekeza ili tu naye apewe mgao. kuendekeza njaa ni laana.



JESUS IS LORD
 
Back
Top Bottom