Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Hivi kosa lake ni lipi? Kwani waumini kumshabikia mchungaji wao ni kosa? Nawe askofu fanya yako ushabikiwe.
Kosa lake ni Kuwakejeli Vijana wa Kanisa lake badala ya kuwaimarisha

Mchungaji Kimaro ameomba msamaha Wakristo wa Dunia nzima siyo KKKT tu

Uwe unaelewa!
 
huwezi kupambana na wachagga kkkt ukashinda diocese ya mashariki na pwani wao ni wengi kwenye ungozi na wengi wao ni wachungaji viongozi wa sharika mbali mbali kwahiyo hiyo suala likienda kwenye kikao cha halimashauri cha diocese alizima interest wachagga zishinde
 
Mbona Mwenyewe kimaro ni mchaga au unamuongelea malasusa
 
Dr karibu Sana Kanisa Kuu la mitume Katoliki
Eh, nijuavyo imani zenu ni tofauti, " KKKT wanaomba kupitia jina la YESU na nyie mnaomba kupitia ALIYEKUWA BIKRA[MARIA]" Itakuwa ngumu sana kwa Malasusa ku-switch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…