Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

Hiyo ni technical retreat....he just lost a battle, Malasusa should prepare for a full scale war
Hakuna Cha Battle Wala Beto!!!

Ni vyema sana watu wa Mungu kukaa pamoja Kwa Amani na Upendo.

KANISA la Mungu hakuna njia za maandamano kupata Suluhu.

Shetani ameshindwa, watu wamesameheana hadharani.

What a wonderful day. Amen
 
Kwenye mambo ya Mungu suruhu ni muhimu badala ya kutafuta mshinddi.Nyie wahandishi uchwara ndio mlimponza Mch.Kimaro.Si vema unapotafuta kuchochea baada ya muafaka huu.
 
Hawa ndio wale wajinga waliokuwa wanadhani kupitia hili la Mchungaji Kimaro wangeliona Kanisa likigawanyika na kondoo kutangatanga.

Hawawezi kuleta taarifa kama ilivyo kwakuwa imewaumiza sana.

Mchungaji Kimaro ametumia vyema likizo yake kuomba, kujifunza na kujinyenyekeza kwa Mungu. Ameeleza mwenyewe vizuri kabisa juu ya 'church discipline' na vile Askofu Malasusa anavyomjenga na kumtunza kichungaji.

Hawa walidhani Mchungaji Kimaro angekuwa mpumbavu na akaenda kuanzisha dhehebu lake binafsi. Mchungaji Kimaro ni mtu makini na mwenye akili sana, alipitiwa tu na shetani na kiburi cha umaarufu.

Hili alilofanya leo litakuwa limemuumiza sana shetani na mawakala wake.
Walidhani atakuwa kama Ananja
 
Leo Jumapili 19-2-2023 zikiwa zimebaki siku 16 likizo ya miezi 3 aliyopewa MCH ELIONA KIMARO iishe Kanisa limemrudisha kwa kusema limemsamehe; Washirika hawajui kosa lake isipokuwa tu labda sababu kuu ni kuleta wokovu KKKT , sala, kunena kwa lugha, kwaya na nyimbo za kucheza kama WALOKOLE WA TAG wafanyavyo , kukemea mapepo na maombi ya kufunguliwa:

Kimsingi tumepigwa tu maana hamjaambiwa kosa lake mmeambiwa tu amesamehewa 😂😂😂amesamehewa nini tunabaki kubunibuni tu.

Kwakifupi tu nikwamba mzk wake hawauwezi hawana lakumfanya 😂😂
Vizuri wamesameheana Safi ...madalali mkae mkao Sasa mtanyooshwa😂😂 Alipewa likizo ya siku 60 ambayo ilipaswa kukoma March 16.

Jana baada ya bango kupandishwa ndio kanisa likaona limalize mchezo au🤔

Nini kimefanya likizo ya siku 60 kukatishwa?

Wasingeweza kukaa nae bila kuleta taharuki kwa jamii na wakamwambia shida iliyopo na wakampa nafasi ya kuomba msamaha?

Bango limepandishwa juzi wao wamemsalisha kinyerezi leo🤔

Siku 33..

Anyway KKKT tuangalie mbinu bora zaid ya kukabiliana na misuguano kwenye hizi Taasisi zetu

View attachment 2522708

Hata ungeambiwa sababu bado ungebisha na kukataa. Halafu Kimaro haleti wokovu Bali Yesu Kristo.
 
WOKOVU umeingia KKKT, Baraza la MAFARISAYO na MASADUKAYO limesarenda, Mziki wa Yesu mwanadamu hauwezi , Bango la jana, magari yashawekwa chata na kanisa lilikuwa limebaki jengo bila washirika,

Acha uongo kanisa gani halina watu. Mbona kila jumapili tunafanya ibada?. Mmeaibika na njama zenu ovu. Kimaro kaomba msamaha kasamehewa, wewe unaleta ushabiki.
 
KIMARO akirudi na mambo yake ya WALOKOLE wa TAG mambo ya kunena kwa lugha, kuombea wagonjwa, zaka, upako, ukiri tunamfukuza aende akaungane nao, sisi tunataka liturujia yetu n misingi ya kilutheri
Misingi ya kilutheri tuliyoiboresha kutoka Roman Katoliki au siyo ?
 
Back
Top Bottom