johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #261
Vijana wa kiislamu ni waaminifuukweli upi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa kiislamu ni waaminifuukweli upi?
Hakuna Cha Battle Wala Beto!!!Hiyo ni technical retreat....he just lost a battle, Malasusa should prepare for a full scale war
statistics zinaonyesha kuwa waliopo magereza idadi kubwa ni vijana wa hao aliowasiia!Vijana wa kiislamu ni waaminifu
Kosa gani?Alitenda kosa
Kikanisa kipi?La kikanisa!
Walidhani atakuwa kama AnanjaHawa ndio wale wajinga waliokuwa wanadhani kupitia hili la Mchungaji Kimaro wangeliona Kanisa likigawanyika na kondoo kutangatanga.
Hawawezi kuleta taarifa kama ilivyo kwakuwa imewaumiza sana.
Mchungaji Kimaro ametumia vyema likizo yake kuomba, kujifunza na kujinyenyekeza kwa Mungu. Ameeleza mwenyewe vizuri kabisa juu ya 'church discipline' na vile Askofu Malasusa anavyomjenga na kumtunza kichungaji.
Hawa walidhani Mchungaji Kimaro angekuwa mpumbavu na akaenda kuanzisha dhehebu lake binafsi. Mchungaji Kimaro ni mtu makini na mwenye akili sana, alipitiwa tu na shetani na kiburi cha umaarufu.
Hili alilofanya leo litakuwa limemuumiza sana shetani na mawakala wake.
Chukulia mfano hapo Chadema waliopoteza uaminifu na kuunga juhudi ni Wagalatia watupustatistics zinaonyesha kuwa waliopo magereza idadi kubwa ni vijana wa hao aliowasiia!
Kuwasifia Vijana wa kiislamu huku akiwaponda WagalatiaKosa gani?
Amekubalije kuwa down. Angekuwa mbishi kama sheikh Alhad. Kama mbaya iwe mbayaKimaro ameomba msamaha sasa hapo nani kakubali mziki
USSR
Leo Jumapili 19-2-2023 zikiwa zimebaki siku 16 likizo ya miezi 3 aliyopewa MCH ELIONA KIMARO iishe Kanisa limemrudisha kwa kusema limemsamehe; Washirika hawajui kosa lake isipokuwa tu labda sababu kuu ni kuleta wokovu KKKT , sala, kunena kwa lugha, kwaya na nyimbo za kucheza kama WALOKOLE WA TAG wafanyavyo , kukemea mapepo na maombi ya kufunguliwa:
Kimsingi tumepigwa tu maana hamjaambiwa kosa lake mmeambiwa tu amesamehewa 😂😂😂amesamehewa nini tunabaki kubunibuni tu.
Kwakifupi tu nikwamba mzk wake hawauwezi hawana lakumfanya 😂😂
Vizuri wamesameheana Safi ...madalali mkae mkao Sasa mtanyooshwa😂😂 Alipewa likizo ya siku 60 ambayo ilipaswa kukoma March 16.
Jana baada ya bango kupandishwa ndio kanisa likaona limalize mchezo au🤔
Nini kimefanya likizo ya siku 60 kukatishwa?
Wasingeweza kukaa nae bila kuleta taharuki kwa jamii na wakamwambia shida iliyopo na wakampa nafasi ya kuomba msamaha?
Bango limepandishwa juzi wao wamemsalisha kinyerezi leo🤔
Siku 33..
Anyway KKKT tuangalie mbinu bora zaid ya kukabiliana na misuguano kwenye hizi Taasisi zetu
View attachment 2522708
WOKOVU umeingia KKKT, Baraza la MAFARISAYO na MASADUKAYO limesarenda, Mziki wa Yesu mwanadamu hauwezi , Bango la jana, magari yashawekwa chata na kanisa lilikuwa limebaki jengo bila washirika,
Mapato hakuna, waumini asite asite,
Tumemsamehe Eliona Kimaro.
Kanisani hakuna ukabila wewe sukuma gangUkabila umeingia kwenye hili
USSR
Kuongeza ukweli kwamba vijana wa kiislamu wko smart kuliko christianKosa lake kubwa lilikuwa ni nini?
Kalazimishwa kiomba radhi, Kwa Nini kaomba radhi bila kusema kakosea niniAcha upumbavu mchungaji kaomba msamaha na kaandika barua
Misingi ya kilutheri tuliyoiboresha kutoka Roman Katoliki au siyo ?KIMARO akirudi na mambo yake ya WALOKOLE wa TAG mambo ya kunena kwa lugha, kuombea wagonjwa, zaka, upako, ukiri tunamfukuza aende akaungane nao, sisi tunataka liturujia yetu n misingi ya kilutheri
Hilo eneo kuna dada mmoja wa Jf nilikuwa namfukuzia , alifungua ofisi hapo. Sijui kama anaendelea na ile biashara yake..