The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Huna ...chuki Tu inakufanya uone Una uhakika...Siwezi kusema nisicho na uhakika lkn nina uhakika na Samia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ...chuki Tu inakufanya uone Una uhakika...Siwezi kusema nisicho na uhakika lkn nina uhakika na Samia tu
Kumbe wewe unamchukia Kakobe pia?Huna ...chuki Tu inakufanya uone Una uhakika...
Kiburi cha uzima hiki ndugu. Mungu anakuona.Hivi bado yupo huyo tapeli, Kakobe siyo raia wa nchi yetu hilo tunalijua, km amechoka amani ya nchi yetu arudi kwao. Lissu tumeshalijua ni takataka flani nchi hii
Mkuu, mbona unatoa hoja dhaifu hivyo. hata mjukuu wangu atakushangaa sana.Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Wengine siyo WatanganyikaSafari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila siku wengi wanazidi kuibuka kuilinda Tanganyika yao.
Ukraine baada ya vita kuanza watu wote kuanzia mm ila 18 hadi 60 walitakiwa wasitoke nje ya nchi ili wapiganie nchi yao. Wewe ulivyo mwoga sijui itakuwake kwakoLilipuke tu tumechoka.
Nina wasiwasi hii account imedukuliwa!!Hakuna watu wanapigania Tanganyika kama warundi...
The irony of it😅
Mkuu umeuza ID?? Mbona hoja zako siku hizi rojorojo saaana??Hakuna watu wanapigania Tanganyika kama warundi...
The irony of it[emoji28]
Yes bring back our Tanganyika🙏my mama land,my mom was born in 1966 ,just 5 years after independence,nadhan angekuwa hai na yeye asingekubaliana na ujinga wa kuuza tized yetu 🙏Tanganyika haiepukiki!
Kanunuliwa huyo,ishu ya nchi analeta usaaleko🤣Mkuu umeuza ID?? Mbona hoja zako siku hizi rojorojo saaana??
Wenzetu wametusaliti tufanyeje sasa maana jeshi fedha wameshikilia wao.Wananchi ndio wenye Mali, na wanao wajibu wa kulinda Mali zao zisiporwe.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na ni mbuzi kweli kweliOneni hii mbuzi
Dah, JF si mchezo, kumbe ni mchepuko unalilia matunzo ya mtoto toka kwa bishopSasa kwanini wewe ulikubali kuzaa na Askofu wakati ukijua kuwa wewe sio mke wake wa ndoa?
Au uliamini kuwa ukishamzalia mtoto ndo atakuoa kabisa?
Unajifurahisha kinafiki.nyie mnajiburudisha tu subiri kazi ianze,
Toa hoja achana na familia yakeAskofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Mbona wamekwisha tambua mkuu 'denooJ'; ya kwamba " Safari hii siyo "upepo tu".Safari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila siku wengi wanazidi kuibuka kuilinda Tanganyika yao.
Inaonekana hukuelewa alichosimamia katika hili.Tukubaliane kwenye machache lakini Tanganyika lazima irudi la sivyo tuweke kila jambo sawa sio wao wajenge kwetu sio kwao tusijenge. Nyerere kafa na ubaya wa kuiua Tanganyika.