Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

Hivi bado yupo huyo tapeli, Kakobe siyo raia wa nchi yetu hilo tunalijua, km amechoka amani ya nchi yetu arudi kwao. Lissu tumeshalijua ni takataka flani nchi hii
Kiburi cha uzima hiki ndugu. Mungu anakuona.
 
Askofu Kobe ana laana ya kutelekeza mtoto wake wa damu, lissu naye risasi za mbowe zilimlemaza sio miguu tu Hadi ubongo zililemaza, asa ukiwasikiliza watu hawa na ukawaelewa basi ujue uwendawazimu unakunyemelea.
Mkuu, mbona unatoa hoja dhaifu hivyo. hata mjukuu wangu atakushangaa sana.
 
Tanganyika haiepukiki!
Yes bring back our Tanganyika🙏my mama land,my mom was born in 1966 ,just 5 years after independence,nadhan angekuwa hai na yeye asingekubaliana na ujinga wa kuuza tized yetu 🙏
 
Safari hii kazi wanayo, wakisema ni upepo tu, matokeo yake ndio kila siku wengi wanazidi kuibuka kuilinda Tanganyika yao.
Mbona wamekwisha tambua mkuu 'denooJ'; ya kwamba " Safari hii siyo "upepo tu".

akichezea upepo safari hii utawazoa.
 
Tukubaliane kwenye machache lakini Tanganyika lazima irudi la sivyo tuweke kila jambo sawa sio wao wajenge kwetu sio kwao tusijenge. Nyerere kafa na ubaya wa kuiua Tanganyika.
Inaonekana hukuelewa alichosimamia katika hili.

Mwalimu Nyerere "hakuiua Tanganyika" ili Zanzibar iitawale au iitumie Tanganyika.

Inabidi ulitafakari hili kwa makini ili ulielewe vizuri na uache kulaumu kwa vile jambo unalolaumu juu yake huna ufahamu nalo.
 
Back
Top Bottom