na juzi walifanya mazoez ya kijesh na coalition yao makusudi ilikuwa ni warning kwamba they have a lot of allies..nafikiri kuna mtu hio message imemfikiawana coalition yao matata sana,ina ndege idadi sawa na marekani,karibu ndege 18000 kwa ujumla,vifaru na selfpropelled artillery karibu pieces 50000,
hiyo coalition ni kubwa na yenye nguvu ,
hata hivyo iran kama kawaida huwa haina tabia ya kuvamia nchi karne za karibuni
hiyo mbona inafahamika,mojawapo ya shirica la misaada la saud lililokua likifund alqaida kipindi cha nyuma,liliongozwa na prince salman,ambae leo ni king salman bin abdullaziz al SaudHawa Wasaudia ni kundi la ku-support kigaidi liangaliwe.
Kati ya Saud Arabia na IRAN nani anapanga kumuangamiza mwenzake, hii nchi inatumiwa vibaya na Marekani, lakini afanye upuuzi wake wote mwisho asimguse Iran, atachapika kama mtoto...Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
Wale waarabu wamejaza Silaha hata kutumia hawawez Teh Teh.... Hana Jeshi Syria mwenyewe angeweza kuichakaza saudi Arabia, ameazisha Islamic State kutawala nchi za kiislam zinazoongozwa na wa Shia. Brake yake kwa Iran.. Hapo lazima atulie tu...Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Teh Teh, burudani SanaYani mtoa kauli sio tu bunduki,hata manati hawezi kutumia,
mi nemekuja mbio kuoja nani anaetoa kauli hii daa watu hawaishi vituko!
Yote hiyo midoli, Saudi Arabia ana vifaa vingi sababu ya pesa. Hana Jeshi imara.... Mafunzo, tatics etc.. Irani anatengeneza intercontinental ballistic missiles ICBMs mwenyewe ana technology nzuri. Mwezi juzi tu ameteka wanamaji wa Marekani waliovuka mipaka, ndio ujue Jeshi sio hardwares tu. Kuna technology, tactics & training..wana coalition yao matata sana,ina ndege idadi sawa na marekani,karibu ndege 18000 kwa ujumla,vifaru na selfpropelled artillery karibu pieces 50000,
hiyo coalition ni kubwa na yenye nguvu ,
hata hivyo iran kama kawaida huwa haina tabia ya kuvamia nchi karne za karibuni
Huko Saudia mbali,Mbona mnaleta dharau nyie wagalatia, povu la nini na vitu vipo wazi. Hauhitaji kuwa na shahada ya chuo kikuu kuona namna nchi kadhaa zinavyojipanga kuiporomosha Saudia kiuchumi na kiusalama? ikiwemo Iran?
sawa,saud wanatumia hela,wana vifaa,japo hawawezi kumligana technology na iranYote hiyo midoli, Saudi Arabia ana vifaa vingi sababu ya pesa. Hana Jeshi imara.... Mafunzo, tatics etc.. Irani anatengeneza intercontinental ballistic missiles ICBMs mwenyewe ana technology nzuri. Mwezi juzi tu ameteka wanamaji wa Marekani waliovuka mipaka, ndio ujue Jeshi sio hardwares tu. Kuna technology, tactics & training..
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.