Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Hoya m'baba, tayari huku...kuna mtu kalipua visima. Nafikiri umefika sasa wakati wa kumbomoa kama ulivyosema
 
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
PUMBAAAAA
 
Saudia kama wataleta ujinga watabinuliwa Tu.
Nyie munafurahi saudia ikipigwa na wale wa iran kule wakiviripua vile visima vya mafuta ohooo
shauri lenu mtakuja tembea kwa mguu badala ya daladala. Maanake hao waarabu ndio wanaongoza kwa kuzalisha mafuta duniani kote. Musija mukalalamika nauli ya daladala ikija kuwa buku badala ya 400. Dunia inatera nyie munacheka. Acheni ujinga nyinyi.
 
Mleta uzi anajifanya hajui kuwa pesa za waarabu wajinga wa Saudi Arabia ndizo zimefadhili magaidi na vikundi vingi vya kigaidi duniani?

Pamoja na Jerusalem kuwa mji mtakatufu, uliangamizwa kutokana na watu wapumbavu waliokuwa wanaishi mahali hapo. Utakatifu wa mahali siyo utakatifu wa watu wanaoishi mahali hapo.

Saudi Arabia mpaka huko Maka kutaangamizwa endapo viongozi wa taifa hilo wataendelea kufanya maasi dhidi ya ubinadamu.
 
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Una udhubutu kweli kweli... Hivi taifa teule lina sifa pia ya kuchinja watu kwa misumeno...!!! !?
 
MZEE
Mkuu jaribu kufatilia kwa karibu nyenendo za watawala wa Saudia, ukoo wa kifalme wa Saudia ndio wana finance Ugaidi mashariki ya kati na Africa kaskazini, ku advocate regime change kwenye mataifa ambayo wanafikiri ni tishio kwa Ufalme wao mfano Syria,Yemen,Iraq, Iran yaani utawala huo wa Kifalme huko in bad terms na nchi za Mashariki ya kati save Uturuki, Israel, Quatar nk

Wanachochea mifarakano ya kidini kati ya Washia na Sunni nk, Ufalme wa Saudia ni madikteita hawaruhusu Taifa hilo liwe na Demokrasia ya kweli wananyanyasa sana wanawake wa Taifa hilo na wanao toka nje kuja kufanya kazi za Uyaya.

Ufalme huo hauna goodtrack record ya kuheshimu binadamu wenzao save Wafalme wenzao au watawala wa nchi za magharibi, wana dhalau sana na viburi, dhalau zao hazijalishi kama wewe ni mwislaam au mkristo - chukulia mfano wa waumini kuangukiwa na crane/ukuta huko Mecca, hawakuonyesha kujali hata kidogo kazi ni kulahumu Wafrica kwamba ndio walihusika na stampede iliyo changia watu wengi kufa! Miaka ya nyuma moto uliwahi kuua waumini wengi, Ufalme huo bila aibu wakasingizia Waafrica kwamba ndio walisababisha moto kwa kuwa hawajui kutumia majiko ya gesi!!!!

Misaada mingi wanayo toa niya kisiasa zaidi wanaitumia kama PR ya kuzuga Dunia ili waendelee kubaki madarakani milele, nataka nieleweke kwamba raia wa Saudia na Waislaam karibu wote hawana tatizo lolote wenye matatizo ni Ukoo wa Kifalme ni wanafiki sana, kama si busara na hekima za Obama Ufalme wa Saudia na Uturuki walikuwa wanachochea vita ya tatu ya Dunia kuanzishwa nchini Syria - hawatumii busara hata kidogo.

Kwa nini nasema ni wanafiki? Huko Saudia ukikamatwa unakunywa pombe au una relationship na mwanamke out of wedlock unaweza kuhukumiwa a captial punishment!

Nilikuwa naona wana wa kifalme wakija mjini London wanajirusha kwenye ma night club, wanakunywa Pombe kali kama kawa na company ya akina mama wa barabarani wanawaganda kama luba maana wanajua wanazo!!! Wakati fulani kuna call girl aliwahi kueleza kwenye tabloid newspaper (The SUN) kwamba mwana wa Mfalme alimununulia nyumba ya kifahari za "inner London!!"

Uwezi kuamini kwamba Ukoo wa Kifalme wa Saudia unao jifanya una maadili ya hali ya juu ukiwa nchini mwao, wakitoka nje ya nchi yao wanafanya mambo ya kishenzi kweli kweli niliyo ya eleza hapo juu.

Ni ukoo unao tawala Saudia with iron fist, element ya u sadism waliyo nao ndio maana upendelea kutumia majambia kukata shingo za petty thieves/wahuni lakini linapokuja suala la ukoo wao kufanya mambo ya kudhalilisha Taifa lao wakiwa nje ya nchi, hao hawachukulii hatua yoyote wanaedelea kuwaonea raia masikini kwa kuwahukumu adhabu za kinyama wanavamia nchi masikini kama Yemen na kuua raia ovyo!

Juzi juzi hapa imekamatwa a private jet yao katika uwanja wa ndege wa Gatwick au Luton sikumbuki vizuri, wapelelezi/polisi walikuta mzigo wa COCAINE ndani ya ndege - mi sikushangazwa kwa ugunduzi huo, nakumbuka miaka ya zamani kuna mwana wa Mfalme wa Saudia alikutwa amefariki kwenye Hoteli mojawapo ya kifahari mjini Dar-Es-Salaam kifo chake kilisababishwa na overdose ya Cocaine.

Mwisho niseme kwamba binafsi nahafiki kwa mapendekezo ya marehemu Gaddafi - Mecca na Medina ziwe nje ya utawala wa Kifalme wa Kisaudia, Taifa hilo li emulate Vatican na Taifa la Italy ili kunusuru sehemu hizo takatifu zisidhulike na adventures hatarishi za Ufalme wa Saudia, mambo wanayo yafanya ya kuchochea ugaidi na kutaka kupindua Serikali za majirani zao yatakuja kuwagehuka muda si mrefu kuanzia sasa - mimi siyo mtume wala nabii lakini sioni kama utawala wa Kifalme wa Saudia utadumu zaidi ya miaka kumi ijayo,mapinduzi yatafanywa na raia wa Saudia wakisaidiwa na watu wa nje - kwanza hata Marekani imekwisha wachoka - they won't be sorry see them go.
Umeongea fact 2puuuuuuu
 
MZEEUmeongea fact 2puuuuuuu
Fact gani? Kwamba mtu akitembea na mke wa mtu au mwanamke mwingine asipewe adhabu?

Fact ya kuhitaji Demokrasia Saudi Arabia?

Lile ni taifa huru, wana utamaduni wao wana mifumo yao ya kiutawala inayofit kwao, wana njia zao na kila kitu chao..... Kutaka kulazimisha tamaduni za mataifa basi ndo ziwe tamaduni za Dunia si sahihi hata kidogo ndo maana wako imara.

Mgogoro wa kishia na kisunni unachochewa na Iran, Iran anahitaji kuitumia Yemen ili aingize Ushia Saudi Arabia.... Taifa lolote lile lebye kujali msingi wa uimara wake ni lazima likatae hali hyo ndo maana Saudi kapeleka wanajeshi Yemen kupigana vita na ukoo wa Houthi wenye kufuata dini ya kishia.

Alifanya hivyo Urusi kuuhami mfumo wake wa ujamaa dhidi ya ubepari wa magharibi. Amefanya hivyo China kupitia sera ya China Moja..... Anafanya hivyo Iran kuulinda ushia wake kupitia Ayatollah....

Uislam haujakataza Ufalme, uislamu umeharamisha Demokrasia-Matendo ya kishenzi ya wanawafame hayawez tumika kuhalalisha kuwa ukoo wao n utawala wa kishenzi. Mapadre wanaolawiti watoto au wachungaji wanaotbea na wake za watu hawawez abadan kuufifisha ukristo duniani coz wanachokifanya n tabia zao personal na sio msingi wa Dini ya kikristo.

Jiulize hayo matendo machafu ya baadhi ya wanawafalme kwann hawayafabyi ndani ya Saudi Arabia?

Mbona wanawafalme wanaokosa ndani ya nchi yao huchukuliwa hatua?

"Prince Turki's execution for murder was announced by Saudi state media on October 18, 2016. He was the first member of the Saudi royal family to beexecuted since the execution of 19 year old Princess Mishaal bint Fahd bin Mohammed Al Saud in 1977."
 
Hili lakupewa adhabu m2 anaetembea na mke wa wa2 wala sijasema asipewe adhabu

Na kuhusiana na hayo masuala viongozi wa saudia wanafanya mangapi yakishenzi

Wamemuua muandishi wa watu bure

Nakama kweli wanafuata sharia za kiislam walimualika minaj akatumbuize jiddah pale wana uislam gan

Kuhusiana na suala la yemen sawa inawezekana ikawa wajamaa wanataka kueneza ushia ila kule kuripua shule na sehem ambazo hazina sababu yakupigwa ndio DINI ile

Jamaa wanawaunga mkono WAZAYUNI na kuwakandamiza wapalestine kwaminajili gani

Jamaa wanazitumia sehem takatifu za makka na madina kwa mambo zao binafsi hawana dini hata moja wapumbavu wale

Unasema wanapigana na yemen kuzuia Ayatollah wakat huo huo wanaungana na wamagharibi wakiwemo wamarekani kuwapiga waislam wenzao

Hamna VIONGOZI WADINI MLE Mkuu

Wanakula mali za umma kama hawana akili nzuri

Halaf jambo jengne uislam haujawahi na wala hautawahi kukataza demokrasia ila pia haujakataza ufalme

Ila huo ufalme unaendeshwa kwanamna gan ?!

WASAUDIA kwa ushirikiano na WAYAHUDI wana ajenda zao za siri IRAN Ndio mmeifanya kama mbuzi wakafara
 
Back
Top Bottom