M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoya m'baba, tayari huku...kuna mtu kalipua visima. Nafikiri umefika sasa wakati wa kumbomoa kama ulivyosemaMtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
PUMBAAAAAMtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la SAUDI ARABIA, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa misaada ya kijamii/kibinadamu tofauti na mataifa mengi ya ULAYA (majina kapuni) Saudi Arabia imetoa matrilioni ya Dola za Kimarekani katika miradi mbali mbali hususani maji, elimu, hospitali/afya, kwenye mataifa mbali mbali ikiwemo Somalia, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Sudani na Tanzania (hususani Zanzibar). Kwa umoja wetu hatutakubali kuona taifa hili likichezewa na wazandiki na wenye mrengo mbaya.
** Lazima tulishukuru sana hili Taifa kwa kujitolea kwake, kusaidia nchi maskini.
Saudia ni wateule wa nani?Tunajivunia urafiki wetu wa karibu na Taifa Teule la Saudi Arabia.
Nyie munafurahi saudia ikipigwa na wale wa iran kule wakiviripua vile visima vya mafuta ohoooSaudia kama wataleta ujinga watabinuliwa Tu.
Acha UshubwaddaSaudia ni wateule wa nani?
Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
NomaHahahaaaaaaaa nimecheeeeekaaaaa
Sehemu za kimanzichana, Mkuranga, kibiti, wasaudia wamesaidia miradi mingi ya visima vya maji
Aisee...!!! Kumbe. Hii ilikuwa baada ama kabla ya 'MKIRU turmoil'?Matokeo ya misaada yao tuliyaona
Wewe ndiye umenielewa vzrAisee...!!! Kumbe. Hii ilikuwa baada ama kabla ya 'MKIRU turmoil'?
Una udhubutu kweli kweli... Hivi taifa teule lina sifa pia ya kuchinja watu kwa misumeno...!!! !?Tunaelewa Wanafiki wanatumia Iran kama chambo lakini tunawahakikishia kuwa hakuna atakayeliweza taifa Teule SAudi Arabia katika vita vitakatifu. Marekani mwenyewe anamkubali Msaudia itakuwa nyie mbilikimo msio na shukrani?
Umeongea fact 2puuuuuuuMkuu jaribu kufatilia kwa karibu nyenendo za watawala wa Saudia, ukoo wa kifalme wa Saudia ndio wana finance Ugaidi mashariki ya kati na Africa kaskazini, ku advocate regime change kwenye mataifa ambayo wanafikiri ni tishio kwa Ufalme wao mfano Syria,Yemen,Iraq, Iran yaani utawala huo wa Kifalme huko in bad terms na nchi za Mashariki ya kati save Uturuki, Israel, Quatar nk
Wanachochea mifarakano ya kidini kati ya Washia na Sunni nk, Ufalme wa Saudia ni madikteita hawaruhusu Taifa hilo liwe na Demokrasia ya kweli wananyanyasa sana wanawake wa Taifa hilo na wanao toka nje kuja kufanya kazi za Uyaya.
Ufalme huo hauna goodtrack record ya kuheshimu binadamu wenzao save Wafalme wenzao au watawala wa nchi za magharibi, wana dhalau sana na viburi, dhalau zao hazijalishi kama wewe ni mwislaam au mkristo - chukulia mfano wa waumini kuangukiwa na crane/ukuta huko Mecca, hawakuonyesha kujali hata kidogo kazi ni kulahumu Wafrica kwamba ndio walihusika na stampede iliyo changia watu wengi kufa! Miaka ya nyuma moto uliwahi kuua waumini wengi, Ufalme huo bila aibu wakasingizia Waafrica kwamba ndio walisababisha moto kwa kuwa hawajui kutumia majiko ya gesi!!!!
Misaada mingi wanayo toa niya kisiasa zaidi wanaitumia kama PR ya kuzuga Dunia ili waendelee kubaki madarakani milele, nataka nieleweke kwamba raia wa Saudia na Waislaam karibu wote hawana tatizo lolote wenye matatizo ni Ukoo wa Kifalme ni wanafiki sana, kama si busara na hekima za Obama Ufalme wa Saudia na Uturuki walikuwa wanachochea vita ya tatu ya Dunia kuanzishwa nchini Syria - hawatumii busara hata kidogo.
Kwa nini nasema ni wanafiki? Huko Saudia ukikamatwa unakunywa pombe au una relationship na mwanamke out of wedlock unaweza kuhukumiwa a captial punishment!
Nilikuwa naona wana wa kifalme wakija mjini London wanajirusha kwenye ma night club, wanakunywa Pombe kali kama kawa na company ya akina mama wa barabarani wanawaganda kama luba maana wanajua wanazo!!! Wakati fulani kuna call girl aliwahi kueleza kwenye tabloid newspaper (The SUN) kwamba mwana wa Mfalme alimununulia nyumba ya kifahari za "inner London!!"
Uwezi kuamini kwamba Ukoo wa Kifalme wa Saudia unao jifanya una maadili ya hali ya juu ukiwa nchini mwao, wakitoka nje ya nchi yao wanafanya mambo ya kishenzi kweli kweli niliyo ya eleza hapo juu.
Ni ukoo unao tawala Saudia with iron fist, element ya u sadism waliyo nao ndio maana upendelea kutumia majambia kukata shingo za petty thieves/wahuni lakini linapokuja suala la ukoo wao kufanya mambo ya kudhalilisha Taifa lao wakiwa nje ya nchi, hao hawachukulii hatua yoyote wanaedelea kuwaonea raia masikini kwa kuwahukumu adhabu za kinyama wanavamia nchi masikini kama Yemen na kuua raia ovyo!
Juzi juzi hapa imekamatwa a private jet yao katika uwanja wa ndege wa Gatwick au Luton sikumbuki vizuri, wapelelezi/polisi walikuta mzigo wa COCAINE ndani ya ndege - mi sikushangazwa kwa ugunduzi huo, nakumbuka miaka ya zamani kuna mwana wa Mfalme wa Saudia alikutwa amefariki kwenye Hoteli mojawapo ya kifahari mjini Dar-Es-Salaam kifo chake kilisababishwa na overdose ya Cocaine.
Mwisho niseme kwamba binafsi nahafiki kwa mapendekezo ya marehemu Gaddafi - Mecca na Medina ziwe nje ya utawala wa Kifalme wa Kisaudia, Taifa hilo li emulate Vatican na Taifa la Italy ili kunusuru sehemu hizo takatifu zisidhulike na adventures hatarishi za Ufalme wa Saudia, mambo wanayo yafanya ya kuchochea ugaidi na kutaka kupindua Serikali za majirani zao yatakuja kuwagehuka muda si mrefu kuanzia sasa - mimi siyo mtume wala nabii lakini sioni kama utawala wa Kifalme wa Saudia utadumu zaidi ya miaka kumi ijayo,mapinduzi yatafanywa na raia wa Saudia wakisaidiwa na watu wa nje - kwanza hata Marekani imekwisha wachoka - they won't be sorry see them go.
Fact gani? Kwamba mtu akitembea na mke wa mtu au mwanamke mwingine asipewe adhabu?MZEEUmeongea fact 2puuuuuuu
MBS ndie mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia. Tunampongeza in advance.Wakubomolewa ni Muhammed Bin Salman (MBS) huyu ndiye anayeitia najisi Saudia. Baada ya hapo ziteketezwe koo yote ya Saud wanaoitawala Ardhi tukufu kimabavu
Hili lakupewa adhabu m2 anaetembea na mke wa wa2 wala sijasema asipewe adhabuFact gani? Kwamba mtu akitembea na mke wa mtu au mwanamke mwingine asipewe adhabu?
Fact ya kuhitaji Demokrasia Saudi Arabia?
Lile ni taifa huru, wana utamaduni wao wana mifumo yao ya kiutawala inayofit kwao, wana njia zao na kila kitu chao..... Kutaka kulazimisha tamaduni za mataifa basi ndo ziwe tamaduni za Dunia si sahihi hata kidogo ndo maana wako imara.
Mgogoro wa kishia na kisunni unachochewa na Iran, Iran anahitaji kuitumia Yemen ili aingize Ushia Saudi Arabia.... Taifa lolote lile lebye kujali msingi wa uimara wake ni lazima likatae hali hyo ndo maana Saudi kapeleka wanajeshi Yemen kupigana vita na ukoo wa Houthi wenye kufuata dini ya kishia.
Alifanya hivyo Urusi kuuhami mfumo wake wa ujamaa dhidi ya ubepari wa magharibi. Amefanya hivyo China kupitia sera ya China Moja..... Anafanya hivyo Iran kuulinda ushia wake kupitia Ayatollah....
Uislam haujakataza Ufalme, uislamu umeharamisha Demokrasia-Matendo ya kishenzi ya wanawafame hayawez tumika kuhalalisha kuwa ukoo wao n utawala wa kishenzi. Mapadre wanaolawiti watoto au wachungaji wanaotbea na wake za watu hawawez abadan kuufifisha ukristo duniani coz wanachokifanya n tabia zao personal na sio msingi wa Dini ya kikristo.
Jiulize hayo matendo machafu ya baadhi ya wanawafalme kwann hawayafabyi ndani ya Saudi Arabia?
Mbona wanawafalme wanaokosa ndani ya nchi yao huchukuliwa hatua?
"Prince Turki's execution for murder was announced by Saudi state media on October 18, 2016. He was the first member of the Saudi royal family to beexecuted since the execution of 19 year old Princess Mishaal bint Fahd bin Mohammed Al Saud in 1977."