Mimi najua tu ile tu ya Kana ambapo Bwana Yesu alialikwa na kutengeneza mvinyoKuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Yeah mimi Muslim niliyesoma the christian theology "and that made me change the religion"Ww Islam
Katika ile harusi kule kana ambapo hata Yesu alialikwa na kutenda muujiza hadi bwana harusi akapagawa kwa utamu wa ile divai unadhani huyo bwana harusi alijifungisha mwenyewe hiyo ndoa?Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Nijibu maswali matatuYeah mimi Muslim
There must be a language for a book to be writtenQuran is a book written in the Arabic language
Bado hujaweka uthibitisho.Katika ile harusi kule kana ambapo hata Yesu alialikwa na kutenda muujiza hadi bwana harusi akapagawa kwa utamu wa ile divai unadhani huyo bwana harusi alijifungisha mwenyewe hiyo ndoa?
Sitaki laki yako Ila hilo ni jibu la swali lako hiyo ndoa ilifungwa na kiongozi wa dini
Mleta mada anataka kujua ulazima wa kiongozi wa dini kufungisha ndoa. Sio "mtu wa dini". Tupe kifungu kinachoonyesha ulazima wa kuwepo kiongozi wa dini.Imeandikwa alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
Sasa hapo mtu asie wa dini anawezafunganisha? Na ni nani alie mkuu katika taasisi za kidini ki Mungu?
Watu wanajitungia tungia mambo tu ili mradi wapate kuwa kuntrol watu ilo jambo ukiliangalia vizuri hakuna ulazima wowote wa kiongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa hata ww au mm au mtu yoyote uanaemuamini anatakiwa afungishe ndoa
Katika ile harusi kule kana ambapo hata Yesu alialikwa na kutenda muujiza hadi bwana harusi akapagawa kwa utamu wa ile divai unadhani huyo bwana harusi alijifungisha mwenyewe hiyo ndoa?
Sitaki laki yako Ila hilo ni jibu la swali lako hiyo ndoa ilifungwa na kiongozi wa dini
Sasa sherehe si zipo tu. Hata ukitoa mahari kwa mzazi ukichukua mke sherehe muhimu. Haihusiani na mtu kufunga ndoa mbele ya kiongoz8 WA diniInjili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au[emoji28][emoji28][emoji28]
Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganisheAndiko kama halipo watu wanatumia dini kuwa control watu kama kulikuwa na ulazima mungu angesema
Yesu alikuwa anapenda sana kwenda katika harusi kuna harusi moja alikwenda kama ingekuwa lazima viongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa ndio mungu akubali basi siku ile Yesu angefungisha lakini alifanya jambo alilopenda mwenyewe walimuuliza mama ake aliwaambia atakalofanya msikilizeni basi akageuza maji kuwa pombe hapa inaonyesha jamaa kwenye mambo ya pombe yupo poa na itakuwa alikunywa tu
Muhamad alimuoa Khadija mwanamke tajiri kama Leo tunasema zali la mental kwa maana muhamad alikuwa kapuku hana hata hela unaambiwa iyo hela ya mahari katoa khadija je huyo aliefungisha ndoa yake alikuwa sheikh gani?
Ukija kuangalia hayo matukio utakuja kugundua hakuna ya haja ya mchungaji au sheikh au padri au kiongozi yoyote wa dini kuwafungisha watu ndio maana Yesu mwenyewe kaenda katika harusi hakufungisha watu ndoa sana sana kageuza maji kuwa pombe na Muhamad kama mwenyewe kiongozi hajafungishwa na sheikh hakuna ulazima wa sheikh kutaka kufungisha watu ndo nyie wakristo na waislam mumepata wapi huo utaratibu ?
Hapa umechanganya, umeshindwa kujua, kuwa ndoa ni tukio tofauti na harusi.Andiko kama halipo watu wanatumia dini kuwa control watu kama kulikuwa na ulazima mungu angesema
Yesu alikuwa anapenda sana kwenda katika harusi kuna harusi moja alikwenda kama ingekuwa lazima viongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa ndio mungu akubali basi siku ile Yesu angefungisha lakini alifanya jambo alilopenda mwenyewe walimuuliza mama ake aliwaambia atakalofanya msikilizeni basi akageuza maji kuwa pombe hapa inaonyesha jamaa kwenye mambo ya pombe yupo poa na itakuwa alikunywa tu
Muhamad alimuoa Khadija mwanamke tajiri kama Leo tunasema zali la mental kwa maana muhamad alikuwa kapuku hana hata hela unaambiwa iyo hela ya mahari katoa khadija je huyo aliefungisha ndoa yake alikuwa sheikh gani?
Ukija kuangalia hayo matukio utakuja kugundua hakuna ya haja ya mchungaji au sheikh au padri au kiongozi yoyote wa dini kuwafungisha watu ndio maana Yesu mwenyewe kaenda katika harusi hakufungisha watu ndoa sana sana kageuza maji kuwa pombe na Muhamad kama mwenyewe kiongozi hajafungishwa na sheikh hakuna ulazima wa sheikh kutaka kufungisha watu ndo nyie wakristo na waislam mumepata wapi huo utaratibu ?
Jamani Ndoa ndiyo hufungwa, Sherehe baada ya ndoa ndiyo huitwa harusi, na walio owana wakati wote wa sherehe, huitwa Bwana na Bibi Harusi.Muelewe mleta mada boss. Ameuliza utaratibu unaotumika kufunga harusi sio uwepo wa harusi.
Padri au mchungaji ni lazima wao peke yao ndio wanaweza kufungisha ndoa kwa mujibu wako ?Hapa umechanganya, umeshindwa kujua, kuwa ndoa ni tukio tofauti na harusi.
Harusi ni matokeo baada ya ndoa, hakuna harusi, kama hakuna ndoa, ila ndoa inaweza kufanyika, bila harusi.
Hivyo ndugu yangu Yesu asingeweza kufungisha ndoa ambayo imeshafungwa, ikiwezekana na yeye mwenyewe, au mtu mwingine, hebu tafakari kwanza.
Kwa hiyo wataka kusema kuwa ile harusi pale kana ilikuwa sherehe ya watu waliotoroshana?Bado hujaweka uthibitisho.
Hharusi ni sherehe, sherehe hata akina zuchu na Gigy money huzifanya na wapenzi wao wanapovishana Pete
Neno ndoa kwenye ile story halipo