Atakayenionesha andiko linalosema mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini nampa laki 1 akale sikukuu

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Mimi najua tu ile tu ya Kana ambapo Bwana Yesu alialikwa na kutengeneza mvinyo
 
Wakuu kwema,

Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?

Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.

Asante.
Katika ile harusi kule kana ambapo hata Yesu alialikwa na kutenda muujiza hadi bwana harusi akapagawa kwa utamu wa ile divai unadhani huyo bwana harusi alijifungisha mwenyewe hiyo ndoa?

Sitaki laki yako Ila hilo ni jibu la swali lako hiyo ndoa ilifungwa na kiongozi wa dini
 
Bado hujaweka uthibitisho.
Hharusi ni sherehe, sherehe hata akina zuchu na Gigy money huzifanya na wapenzi wao wanapovishana Pete
Neno ndoa kwenye ile story halipo
 
Imeandikwa alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.
Sasa hapo mtu asie wa dini anawezafunganisha? Na ni nani alie mkuu katika taasisi za kidini ki Mungu?
Mleta mada anataka kujua ulazima wa kiongozi wa dini kufungisha ndoa. Sio "mtu wa dini". Tupe kifungu kinachoonyesha ulazima wa kuwepo kiongozi wa dini.

Kuhusu uwepo wa Mungu, neno linasema "wakutanapo wawili watatu, kwaajili ya kulitukuza jina langu, nami nipo pamoja nao".

Kwahiyo hata tukikutana waumini sita, tukaamua kufungishana ndoa bila kiongozi wa dini, hakuna tatizo kabisa!
 
Watu wanajitungia tungia mambo tu ili mradi wapate kuwa kuntrol watu ilo jambo ukiliangalia vizuri hakuna ulazima wowote wa kiongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa hata ww au mm au mtu yoyote uanaemuamini anatakiwa afungishe ndoa

Binafsi yangu baba mkwe au muwakilishi wake anaweza kufunhisha ndoa.. huu utaratibu ya kwamba shekh au mchungaji/padri ndio lazima wafungishe ndoa huo niwa serekali tu kwamba ni lazima uwe na kibali ili uweze kufunhisha ndoa
 
Katika ile harusi kule kana ambapo hata Yesu alialikwa na kutenda muujiza hadi bwana harusi akapagawa kwa utamu wa ile divai unadhani huyo bwana harusi alijifungisha mwenyewe hiyo ndoa?

Sitaki laki yako Ila hilo ni jibu la swali lako hiyo ndoa ilifungwa na kiongozi wa dini

Soma swali swali vizuri mkuu
 
Labda tu namimi niongezee maswali mawili yanayohusiana na mada hii.

1. Baba wa iman Ibrahim inasemekana alikuwa na wake wawili nikiongozi gani alifungisha hizo ndoa?

2. Jacob mwana wa isaka alikuwa na wake wawili (mtu na dada yake) nikiongozi gani wa dini alifungisha hizo ndoa?

Yangu ni hayo tu wakuu
 
Injili ya Yohana sura ya 2 anzia mstari wa 2.
Yesu alihudhuria sherehe ya harusi kana sasa sijui hoja yako ni ipi.....hiyo harusi aliifungisha nani sasa wewe au[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa sherehe si zipo tu. Hata ukitoa mahari kwa mzazi ukichukua mke sherehe muhimu. Haihusiani na mtu kufunga ndoa mbele ya kiongoz8 WA dini
 
Ndoa ni mzazi anapotoa ruhusa full stop. Na Mungu anaibariki hapo hapo. Rejea yakobo alipoenda kuchukua mrembo wake kwa yule mzee. Hayo mambo ya kufungishwa na kiongozi WA dini ni mapokeo tu Ya Wazungu.... But Hakuna sehemu yoyote pale wali fanya hivyo
 
Andiko kama halipo watu wanatumia dini kuwa control watu kama kulikuwa na ulazima mungu angesema
Yesu alikuwa anapenda sana kwenda katika harusi kuna harusi moja alikwenda kama ingekuwa lazima viongozi wa dini kuwafungisha watu ndoa ndio mungu akubali basi siku ile Yesu angefungisha lakini alifanya jambo alilopenda mwenyewe walimuuliza mama ake aliwaambia atakalofanya msikilizeni basi akageuza maji kuwa pombe hapa inaonyesha jamaa kwenye mambo ya pombe yupo poa na itakuwa alikunywa tu

Muhamad alimuoa Khadija mwanamke tajiri kama Leo tunasema zali la mental kwa maana muhamad alikuwa kapuku hana hata hela unaambiwa iyo hela ya mahari katoa khadija je huyo aliefungisha ndoa yake alikuwa sheikh gani?

Ukija kuangalia hayo matukio utakuja kugundua hakuna ya haja ya mchungaji au sheikh au padri au kiongozi yoyote wa dini kuwafungisha watu ndio maana Yesu mwenyewe kaenda katika harusi hakufungisha watu ndoa sana sana kageuza maji kuwa pombe na Muhamad kama mwenyewe kiongozi hajafungishwa na sheikh hakuna ulazima wa sheikh kutaka kufungisha watu ndo nyie wakristo na waislam mumepata wapi huo utaratibu ?
Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe
 
Hapa umechanganya, umeshindwa kujua, kuwa ndoa ni tukio tofauti na harusi.

Harusi ni matokeo baada ya ndoa, hakuna harusi, kama hakuna ndoa, ila ndoa inaweza kufanyika, bila harusi.

Hivyo ndugu yangu Yesu asingeweza kufungisha ndoa ambayo imeshafungwa, ikiwezekana na yeye mwenyewe, au mtu mwingine, hebu tafakari kwanza.
 
Ndoa za viongozi wa din ni utapeli. Ili wapige pesa. We mgeni wa dini?
 
Muelewe mleta mada boss. Ameuliza utaratibu unaotumika kufunga harusi sio uwepo wa harusi.
Jamani Ndoa ndiyo hufungwa, Sherehe baada ya ndoa ndiyo huitwa harusi, na walio owana wakati wote wa sherehe, huitwa Bwana na Bibi Harusi.
 
Hapa umechanganya, umeshindwa kujua, kuwa ndoa ni tukio tofauti na harusi.

Harusi ni matokeo baada ya ndoa, hakuna harusi, kama hakuna ndoa, ila ndoa inaweza kufanyika, bila harusi.

Hivyo ndugu yangu Yesu asingeweza kufungisha ndoa ambayo imeshafungwa, ikiwezekana na yeye mwenyewe, au mtu mwingine, hebu tafakari kwanza.
Padri au mchungaji ni lazima wao peke yao ndio wanaweza kufungisha ndoa kwa mujibu wako ?
 
Haaa nid unachokitafuta ni mbwembwe tu za Dunia, ila ndoa ni ridhaa ya wawili me na Ke ikimbatana na baraka ya wazazi.

Hayo ya kanisa sijui msikiti ni utaratibu tu wa wakidunia na mwenye cheti chake Cha ndoa bwana serikali....

Kadha wa kadhaa

Hilo andiko ulitafitalo labdo utoe toleo jingine la andiko au upekue kwenye vile vitabu vingine ambavyo havimo ktk Biblia au
 
Bado hujaweka uthibitisho.
Hharusi ni sherehe, sherehe hata akina zuchu na Gigy money huzifanya na wapenzi wao wanapovishana Pete
Neno ndoa kwenye ile story halipo
Kwa hiyo wataka kusema kuwa ile harusi pale kana ilikuwa sherehe ya watu waliotoroshana?

Uzi wa kimizaha huu na wenye mizaha watakujibu kimizaha
 
Back
Top Bottom