Siyo kweli, mnaweza kutambulika kama mme, na mke, ila siyo wana ndoa, Ndoa ina misingi yake.Watu wazima mkikubaliana (jinsia tofauti) kuishi pamoja tayari ni ndoa na Mungu anabariki. Hizi ndoa ni mambo tu ya Dunia, ila muwe tu na cheti cha serikali kuthibitisha kuwa mlikubaliana kwa hiari na kwa kufuata vigezo.
Nijibu maswali matatu
la kwanza ndoa ya Muhammad kafungisha nani?
Na pili kuna aya yoyote inayosema sheikh lazima afungishe ndoa?
La tatu nyinyi waislam mumpata wapi utaratibu huu je mumjiwekea wenyewe au ni maagizo ya mungu au muhammad kufungisha watu ndoa lazima sheikh
Katika ndoa zote za Mtume muhamadi ndoa kama sikumbuki vizur 12Nijibu maswali matatu
la kwanza ndoa ya Muhammad kafungisha nani?
Hakuna aya hiyo na wala hutaipata popote na ndo maana nimenza kwa mlolongo wa walii..Nijibu maswali matatu
Na pili kuna aya yoyote inayosema sheikh lazima afungishe ndoa?
Sio lazma sheikh na nimetoa uthibitisho chiefNijibu maswali matatu
La tatu nyinyi waislam mumpata wapi utaratibu huu je mumjiwekea wenyewe au ni maagizo ya mungu au muhammad kufungisha watu ndoa lazima sheikh
Kwa jibu hilo ina maana, unakubaliana na uwepo wa ndoa za kidini. ila naomba nikuulize kiongozi wa kidini kwako ni kama nani kwenye hizi dini zetu pendwa.Ndugu nimeusoma huo mstari hakuna kiongozi wa dini amefungisha ndoa hapo.
Upo Sawa.Jamani Ndoa ndiyo hufungwa, Sherehe baada ya ndoa ndiyo huitwa harusi, na walio owana wakati wote wa sherehe, huitwa Bwana na Bibi Harusi.
Ww ni muislam mtafiti sio oya oya na kama wangekuwa wanasoma dini zingekuwa raisi ila wengi sawa sheikhMkuu Hata ya wakristo pia ningeweza kujibu kwa kuwa na ufahamu mzuri wa dini hiyo..
Katika ndoa zote za Mtume muhamadi ndoa kama sikumbuki vizur 12
Ni moja peke yake ndo alifungishwa na ndo kama nilivyoelezea hapo nyuma kuwa ni misingi ya kiislamu ndoa ifungishwe na walii(Walii ni baba wa mwanamke,Kaka yake, babu kama hawapo wote basi mjomba wake kama hayupo bhasi mwenye kuchukua jukumu hiko huwa ni Qadhi)
Kwa hiyo Mtume alifungishwa ndoa yake ya 1 na bi Khadija na aliyewafungisha alikuwa mjomba wake na bi khadija Aitwaye Waraqa ibn Nawfal
Ama kuhusu ndoa zingine aliwatwaa wanawake na tanko la mke likafuata...
Hakuna aya hiyo na wala hutaipata popote na ndo maana nimenza kwa mlolongo wa walii..
Anyway sharti za ndoa kukubalika (kuswii) katika dini ya kiislamu ziko tano
Hapa namaanisha mkuu hakuna janja ya nyani...lazima mwanamke akubali kuolewa na wewe na lazma mwanaume akubali kuoa kama kuna mmoja atakataa kuolewa au kuoa bhasi ndoa kwisha kazi yake haitafungwa
- Iwepo ridhaa ya mwanaume na mwanamke both side
(Najua kuna wale wakubisha basi someni sahihi AlBukhari Hadithi Na. 4843)
Kama nilivoelezea nyuma kidgo hapo walii ni ndugu mwanaume wa karibu kwa mwanamke, kama vile baba yake ,kaka yake wa kuzaliwa,hata babu yake.
- Kuwepo kwa Walii
Na ni lazima Walii awepo na akubali,Na ndio mfungishaji wa ndoa na akikataa kufungisha ndoa hakuna..Na mtume mwenyew alisema pasipo kuwepo walii ndoa hiyo ni batili na hakusema pasipo kuwepo kwa sheikh alisem waliii nakazia..kwa wale wenye kubisha jamani nawapa vitabu
(SUNANAbuudaud, Hadithi Na. 2085. Tirmidhiy, Hadithi Na. 1102) .
Japo kama hakuna walii aliyepatikana wa dini ya kiislamu kwa mfano watu wanasilimu sasa hivi na gule mtoto wa nje ya ndoa na wale wengine wote ambao hawana ndugu bado wamekumbukwa sasa hapo Qadhi au sheikh au imam atachukua sehemu ya walii na atakuwa walii iki kufungisha ndoa
jamani kwa wabishi tena soma
(Tirmidhiy, Hadithi Na. 1084. SunanIbnmaaja, Hadithi Na. 1967).
Uislamu unaweka sharti kwamba ndoa itangazwe kwa watu na kufanyika hadharani ili kuondoa tuhuma kwa mume na mke. Kiwango cha chini sana cha kutangaza ndoa ni kuwepo kwa mashahidi wawili wanaoshuhudia kufungwa kwa ndoa.
- kuwepo kwa mashahidi mawili.
Hapa ikiwemo umri,Awe mwislamu au mkristo(alkitaba),Awe na akili timamu
- Awe ametimiza masharti ya kuolewa
- Apewe mahali yake
- Na isomwe hotuba
Sio lazma sheikh na nimetoa uthibitisho chief
Shukran
Dini ni rahisi sana sheikh huwez amini sema tunayoifanya iwe complicated ni sisi wauminWw ni muislam mtafiti sio oya oya na kama wangekuwa wanasoma dini zingekuwa raisi ila wengi sawa sheikh
Kama nimekuelewa vizuri hapo tukubaliane ndoa za mkeka ni batili.Mkuu Hata ya wakristo pia ningeweza kujibu kwa kuwa na ufahamu mzuri wa dini hiyo..
Katika ndoa zote za Mtume muhamadi ndoa kama sikumbuki vizur 12
Ni moja peke yake ndo alifungishwa na ndo kama nilivyoelezea hapo nyuma kuwa ni misingi ya kiislamu ndoa ifungishwe na walii(Walii ni baba wa mwanamke,Kaka yake, babu kama hawapo wote basi mjomba wake kama hayupo bhasi mwenye kuchukua jukumu hiko huwa ni Qadhi)
Kwa hiyo Mtume alifungishwa ndoa yake ya 1 na bi Khadija na aliyewafungisha alikuwa mjomba wake na bi khadija Aitwaye Waraqa ibn Nawfal
Ama kuhusu ndoa zingine aliwatwaa wanawake na tanko la mke likafuata...
Hakuna aya hiyo na wala hutaipata popote na ndo maana nimenza kwa mlolongo wa walii..
Anyway sharti za ndoa kukubalika (kuswii) katika dini ya kiislamu ziko tano
Hapa namaanisha mkuu hakuna janja ya nyani...lazima mwanamke akubali kuolewa na wewe na lazma mwanaume akubali kuoa kama kuna mmoja atakataa kuolewa au kuoa bhasi ndoa kwisha kazi yake haitafungwa
- Iwepo ridhaa ya mwanaume na mwanamke both side
(Najua kuna wale wakubisha basi someni sahihi AlBukhari Hadithi Na. 4843)
Kama nilivoelezea nyuma kidgo hapo walii ni ndugu mwanaume wa karibu kwa mwanamke, kama vile baba yake ,kaka yake wa kuzaliwa,hata babu yake.
- Kuwepo kwa Walii
Na ni lazima Walii awepo na akubali,Na ndio mfungishaji wa ndoa na akikataa kufungisha ndoa hakuna..Na mtume mwenyew alisema pasipo kuwepo walii ndoa hiyo ni batili na hakusema pasipo kuwepo kwa sheikh alisem waliii nakazia..kwa wale wenye kubisha jamani nawapa vitabu
(SUNANAbuudaud, Hadithi Na. 2085. Tirmidhiy, Hadithi Na. 1102) .
Japo kama hakuna walii aliyepatikana wa dini ya kiislamu kwa mfano watu wanasilimu sasa hivi na gule mtoto wa nje ya ndoa na wale wengine wote ambao hawana ndugu bado wamekumbukwa sasa hapo Qadhi au sheikh au imam atachukua sehemu ya walii na atakuwa walii iki kufungisha ndoa
jamani kwa wabishi tena soma
(Tirmidhiy, Hadithi Na. 1084. SunanIbnmaaja, Hadithi Na. 1967).
Uislamu unaweka sharti kwamba ndoa itangazwe kwa watu na kufanyika hadharani ili kuondoa tuhuma kwa mume na mke. Kiwango cha chini sana cha kutangaza ndoa ni kuwepo kwa mashahidi wawili wanaoshuhudia kufungwa kwa ndoa.
- kuwepo kwa mashahidi mawili.
Hapa ikiwemo umri,Awe mwislamu au mkristo(alkitaba),Awe na akili timamu
- Awe ametimiza masharti ya kuolewa
- Apewe mahali yake
- Na isomwe hotuba
Sio lazma sheikh na nimetoa uthibitisho chief
Shukran
Ndoa isiyofata vigezo vya nikah (Ndoa) ni batili na ukifanya tendo na mtu huyo umezini nayeKama nimekuelewa vizuri hapo tukubaliane ndoa za mkeka ni batili.
Kuoa alkitaba (mtu wa kitabu a.k.a mkristo au myahudi) Inategemea na madhehubu japo kwa asilimia kubwa madhebu mengi ya kishia na Asilimia kubwa ya kisunni ni ruksa kwa Aya za kwenye Quran (Kumbuka aya za quran na sio sunna) sasa ubora zaidi ni unapomuoa hakikisha unamshawishi kuwa mwislamu na mola ni mjuzi zaidiNa vipi hii ya kuowa mkristo au mtu wa kitabu, inawezekana vipi au mpaka asilimu?
Comment Fupi Fupi Chap Nzuri Nzuri Kuokoa Muda, Mgogo AjePengine tumuulize yule mgogo aliyesema yesu na mke wake sijui walitembelea wapi vile
Naongeza laki moja mkuu, iwe laki mbili.Wakuu kwema,
Kuna laki moja hapa nataka nimpe mtu akale na wana wake. Ili uipate nahitaji uniwekee aya, mstari au sura ndani ya Quran au Biblia inayoonesha mke na mume walifungishwa ndoa na kiongozi wao wa dini au walifungishwa ndoa na Mtume, nabii au Kuhani?
Sihitaji Hadithi au andiko lisiloonyesha ninachokizungumza moja kwa moja.
Nimesema nukuu itoke kwenye Biblia au Quran si kwamba siheshimu dini zingine hapana, hivi vitabu ndivyo navifahamu.
Asante.
Unataka kusema kuvishana pete ndio harusi?Bado hujaweka uthibitisho.
Hharusi ni sherehe, sherehe hata akina zuchu na Gigy money huzifanya na wapenzi wao wanapovishana Pete
Neno ndoa kwenye ile story halipo
Ndoa ni mali ya Mungu ili kuendeleza uumbaji wake, Yeye ndio mwanzilishi Yeye ndio anafungisha. Kama hayupo physically ndio wawakilishi wake au wanaofanya kazi yake kutekereza hilo.Masare,yesu alihudhuria sherehe ya harusi,Kama ulivyonukuu,wapi Kuna andiko kwamba inatakiwa watu wafunge ndoa kwa kiongozi wa dini?
Jibu hapo
Huo sio utaratibu. Utaratibu lazima ufuatwe. Haiwezekani kiongozi wa dini yupo. Uamue kufanya huduma bila ruhusa yake. Ukitaka kufanya hivyo fungua dini yako isiokuwa na utaratibu. Kwamba mtu akikurupuka anawezafanya lolote as long as ni muumini.Mleta mada anataka kujua ulazima wa kiongozi wa dini kufungisha ndoa. Sio "mtu wa dini". Tupe kifungu kinachoonyesha ulazima wa kuwepo kiongozi wa dini.
Kuhusu uwepo wa Mungu, neno linasema "wakutanapo wawili watatu, kwaajili ya kulitukuza jina langu, nami nipo pamoja nao".
Kwahiyo hata tukikutana waumini sita, tukaamua kufungishana ndoa bila kiongozi wa dini, hakuna tatizo kabisa!
Hahahah hats mimi hayo mambo ya kipaimara cjui komunio bado cjayaelewa hata ndoa kwani wale kina Suleiman walifunga ndoa na c ndo walikuwa watu wa karibu sana na Mungu.Ni kama kuna vitu tumekariri hvBiblia inasema tu fulani alikuwa mke wa fulani au mume wa fulani taratibu za ndoa hazipo, pia hata taratibu za kipa imara sijui komunio pia hakuna hii kitu, only Jews follow the Bible by 100%