Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Wewe ndio umeanzisha mada huyo ni just in case ikitokea atakusimulia wewe ambae una 25M achia majina matatu upewe unachotaka
Wajinga wakubwa nyie.
Kama hamuwez kutafuta hayo majina kwa tunguri mnaweza nin sasa?
Majina majina.
Majina my foot.
Kojoa ulaze hiyo empty head
 
kuwa wewe ni mchawi idara ya viungo 😂😂
Hakuna sehemu nimesema kazi hii itafanywa na Mimi, kwa hio usiseme Mimi ndio mchawi hapo naomba uniombe radhi kidogo ila watendaji wa kazi nawajua na humu wapo

Iblis Bin Shetan kanipa majina matatu ya kwake na ya mama yake

Jina lake: ALBERT JAMES MAZIGAWA
Jina la Mama yake: ANNA PETER KIMARO

Kwa hio wazee wa Nyanga changamkeni mtoe funzo kwa kijana huyo hapo nimewawekea
 
😂😂😂
Mrithi wa madeni yangu atakua babu yako
 
Mkuu usidharau Sana upo uchawi Hadi simoni kwenye bibilia nae alikuwa anafanya uchawi snaa

Kaak kwa kutuliaa mzeee
 
watu wanapigwa na maisha wanasingizia uchwai [emoji23]
Mm niko mbali sana ila jamaa ningempeleka sehemu akafunzwe tu kidogo ajue mauza uza yapo mwezi wa sita naelekea somewhere jamaa akipata wasaa atume number zake pm nitamtafuta atagharamika vifaa tiba, gharama za usafiri na atamlipa mfanyaji basi na hiyo 25 milioni akasaidie yatima.

Mtu kama huyu atishwe tu usiku basi nyege zake zote zitaisha kuhusu uchawi. [emoji23][emoji23][emoji28]
 
Mkuu now days unavaa sketi?????? Au ndio usharogwa tayari???
 
sasa huo sio ustarabu msenge mkubwa
 
Anasikia tu hadithi ila anajifanya keshafika ginimbi,🤣
watu ni wajinga yani wana shindwa kuthibitisha imani yao wanayo amini. utasikia kuwa eti waliona mtu kadondoka na ungo na sio kumuona mtu kapaa na ungo, mara sijui fisi ana irizi anafugwa kwani fisi kufugwa ndo uchawi.

Africa tuna safari ndefu sana vichwa vyetu vina beba mambo ya kipuuzi sana, makanisa uchwara na waganga wapuuzi kila siku wana tapeli maboya eti wana nguvu za asili, upumbavu sana.Watu wa dizain hii wana paswa wafe kwa faida ya bara.

Kunq siku nimepita makburini asubui nakuta njiani kuna nazi zime pasuliwa katikati ya njia na mairizi pembeni eti watu wakawa wanaogopa kuvuka 😂 me niliya piga mateke hayo maupuuzi na sijawa kitu mpka sahizi.
 
Huo ndio uchawi wenyewe sasa, au ulikua haujui uchawi ni Nini ?
Akili huna ww umesema nikupe majina yangu matatu na mama kwanini uyatume humu mm siogopi hakuna binadamu anaenda chooni kunya kuweza kuniroga hayupo kama ulikuwa huwezi usingeanika hadharani kima mmoj undhani kuroga matako yako kila mtu anayo 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…