Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Naona wachawi wanasonya tu hawataki kuroga watu zama hizi mm nilikutana na mchawi anaenda hospitali kuchoma sindano kisa anaumwa malaria nikajiuliza huyu si angejitibu kwa uchawi hapo unaposhangaaa kuwa kumbe uchawi silolote wala chochote kwanini wakiumwa wachawi wanaenda hospitali badala ya kujitibu kwa uchawi 😂 😂Nilitaka kushangaa mkuu utoe majina ya kweli kwa hawa vichaa😂.
Ila akili zake anazijua mwenyewe 🤣
Halafu hata sijaona gauni lake wachawi watakuroga usionyeshe tena 🤣 🤣Mleta Uzi umependeza na gauni lako la mshono wa zain, nilivaa mda huu mshono, old is gold, na mishono inarudi Tena.
🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu uelewa wako ni mdogo nishakwambia. Wewe mweupe tuu watu wenye mkwanja hawaandiki mada nyepesi kama yako.wewe ndo huna unacho elewa umejaza mavi kwenye ubongo
Huyu mimi nilitaka kushughulika nae ila sasa kaoogaa kanabwabwaja tuu hapa alete majina tumkamue😅😅🤣🤣kuna mavitu yanamsubiri huku maana hayajanyonya damu muda sasa.mloge huyu holy holm akili imkae sawa🤣
Tabora Kuna fundi anaitwa maneno, anaogopewa mji mzima, amtumie radi.Huyu mimi nilitaka kushughulika nae ila sasa kaoogaa kanabwabwaja tuu hapa alete majina tumkamue[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]kuna mavitu yanamsubiri huku maana hayajanyonya damu muda sasa.
🤣🤣😂😂😂katoa mada kaoga,nishakaambia kalete majina kanarukaruka tuu.Tabora Kuna fundi anaitwa maneno, anaogopewa mji mzima, amtumie radi.
si umroge sasa mbona vitisho, mroge halafu utupe matokeo, tukusindikize ukachue 25musijisifu kwa lolote maana nakwambya jua likizama usiseme halitachomoza kesho,maana likichomoza tena uongo na aibu yako itawekwa hadhari.Kaa kimya.
Siwezi kujibizana na watu ambao thinking capacity yao iko chooni, narudia tena huwezi fanya lolote kwangu.🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu uelewa wako ni mdogo nishakwambia. Wewe mweupe tuu watu wenye mkwanja hawaandiki mada nyepesi kama yako.
Ambaye hawezi na hataki kujibizana hukaa kimya kimaandishi na kimatamshi.Siwezi kujibizana na watu ambao thinking capacity yao iko chooni, narudia tena huwezi fanya lolote kwangu.
Alongwe nani. Acha Imani potofu. Nenda kapime afya ya kichwaAmbaye hawezi na hataki kujibizana hukaa kimya kimaandishi na kimatamshi.
Unavailable huwezi kujibizana but still unaandika upupu wako hapa.
Tulia watu wakuloge mkuu ili siku nyingine uwe na heshma na uwe na adabu
mwache ajaribu najua hawezi hawa watu walipaswa kuwa milembe sasa wana tibiwa afya ya akili 😂Alongwe nani. Acha Imani potofu. Nenda kapime afya ya kichwa
Usiombe ndugu yangu! Muombe Mungu kila siku yasije yakakufika!Mpaka nilogwe ndo nitaamin la sivyo usijisumbue kunielewesha ujinga