Jeep rubicon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 737
- 1,446
- Thread starter
-
- #561
Kisa tu nikufurahishe wewe shosti😂Mhhhh hilo gauni hapana usilipende hata kidg😂😂😂
Acha mbambamba watu tunazitaka hizo 25mHuwezi kupiga ramli ukaviona mwenyewe? [emoji23]
Mtu akishakuomba jina huyo si mchawi.Halafu kingine unaweza ukawapa hilo jina say unaitwa Amir Juma Mbonde.
Nina imani Tz hii ina Amir Juma Mbonde zaidi ya mia.
Sasa kama hawawezi kupata hayo majina kiuchawi je wataweza kutofautisha hao kina Amir Juma Mbonde mia?
Kila mtu keshasikia hizo porojo ila sio kweli ni hadithi tuNjoo kanda ya ziwa hasa kagera, tembea na mtoto wa mtu afu akupende, aisee haisimami kokote kule ila kwake tu.
😂😂😂😂 Khaaa me wala sihitaji kufurahishwa nmetoa tu ushauriKisa tu nikufurahishe wewe shosti😂
Akuu nalipenda🤣
Kabisa.Mtu akishakuomba jina huyo si mchawi.
Huyo ni data processor tu.
Asante kwa ushauri dear.😂😂😂😂 Khaaa me wala sihitaji kufurahishwa nmetoa tu ushauri
Sasa wewe kama.mchawi unashindwaje kumjua huyu mtu. hadi uambiwe jina.Nipe jina lako Kamili la mwanzo na jina la mama ako mzazi.. Inatosha..
Jina La baba ako usinipe
Haya tuma inbox sasa.Sasa mtu akiweka jina hata majambazi unaweza kumtumia.
Kwani uchawi wako hauwezi kupata jina la mtu kwa kuangaliamuandiko wake hapa?
We nae chawa wa mtoa mada tuu, unaandika utadhani umeazima simuWe sio mzima kichwan mkuu
Kila kitu huendeshwa kwa utaratibu,si unataka kulogwa fuata utaratibu. Maana yeye ndo keshasema hakuna wa kumtengeneza basi aandike jina hapoSasa wewe kama.mchawi unashindwaje kumjua huyu mtu. hadi uambiwe jina.
Kwani nikikutumia inbox wewe huwezi kuwa ndiye jambazi mwenyewe?Haya tuma inbox sasa.
😅😅😅muandiko upi sasa maana wote tuko na keyboard.
Tatizo ni kubwa sana wakoo,kwa fikra hizi bado sanaa sanaa
Usilete historia,huwezi pimiwa mchele kituo cha mafuta.Kwani nikikutumia inbox wewe huwezi kuwa ndiye jambazi mwenyewe?
Ukisikia muandiko wewe unaelewa nini? Unaelewa digital forensic ni nini? Unaelewa Unabomber alikamatwaje?
Kama watu wanaweza kutumia sayansi tu kumjua mtu kwa anachoandika kama ilivyokuwa kwa Theodore Kaczynski, nyie mnaosema mna uchawi mnashindwa vipi kumjua Kiranga ni nani kwa kuangalia anachoandika?
Unamjua Theodore Kaczynski? Unajua alikamatwaje?
Hapo fikra za nani ndiyo bado?
Habari za kulogana ni ujinga tu.Usilete historia,huwepi pimiwa mchele kituo cha mafuta.
Kasema halogeki, ndo maana wakuu wa kazi wakamuomba hizo kitu tatizo like wapi mbona ni kama mnataka kututoa kwenye reli ya mada.
shuleni walisomea ujingaHabari za kulogana ni ujinga tu.
Na ujinga huu unaanza kuthibitika mnapoanza kuomba majina, mnathibitisha uchawi wenu hauwezi kujua watu majina.
Mngekuwa na uchawi kweli, mngenuiza tu kwenye uchawi mpewe jina la Kiranga, lingekuja kamili mpaka fingerprint mngepata.
Hello Africans.
Hakuna binadamu ninaowadharau kama wanaoamini mauchawi na mauganga.
Huwa nawaona ni watu wenye kasoro kubwa kichwani na wameoza kiasi kwamba hata uwaambie nini huwezi kuwabadili imani.
Hizi imani pumbavu zinaonesha vile Africans tuko na IQ ndogo. Na ndio maana pamoja na utajiri uliopo ktk hili bara tunateseka na shida karne kwa karne huku wenzetu wasioamini haya maujinga wakituacha mbali kwa maendeleo. (Najua kuna wazungu wachache vichaa pia wanaamin ushirikina).
Ukweli hizi imani zinanikera sana maana mbali ya kuchelewesha maendeleo ya hili bara pia ni hatari. Tushaua sana wenzetu wasio na hatia sbb ya hizi imani pumbavu. Albino, Vipara, wazee with red ayes na wengine wengi.Upumbavu mtupu.
Mimi binafsi nilishahama sehemu kwa kusingiziwa eti mimi ni freemason. Nilifanya kosa nikaporomosha hekalu wanakoishi wajinga. Mjengo wetu uko tofaut by far na nyumba zingine zote.
Wale wapuuzi walishindwa kujua kuwa kufanikiwa hakuna uchawi bali janja janja na timing kwenye fursa, basi yenyewe yakajiongoza eti hapa ni masonic na makafara tu.
Mwanzoni niliwapuuza ila badae kuna kitu ilitokea nikaona hawa wapuuzi kuna siku wanaweza wakajiunga wakanichoma mle ndani wakiamin mie natoa damu za watu kafara.Ikabidi niondoke.
Yupo mfanyakazi wangu alinichana Live kuwa "boss najua huwez kutoa siri zako ila siwez amini umefika hapa ulipofika bila ndumba kuhusika"
Mimi siamini kama kuna mtu yeyote anayeweza fanya kitu digits zangu bank zikaongezeka. Siku zote ninaamini katika kutumia akili ktk kutafuta.
Pia siamini kama kuna mjinga yeyote anayeweza kuniloga kitu kibaya kikanipata sbb havifanyi kazi. Mnadanganywa tu.
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi. Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Nifanyeni chochote kibaya na mhakikishe hamnisamehi mpaka nije hapa niandike uzi wa kuomba msamaha na kukiri kuwa kweli uchawi upo nimelogwa na pia nilipe hiyo 25M kwa mchawi wangu.
Mkitaka niwatukane babu na bibi zenu wanaoogopwa kwa uchawi ili hasira ziwapande mniloge vizuri semeni. Nitawavurumishia mitusi hao babu/bibi zenu hamjapata kuona. Nitawatukana na kuwakashifu ma hawatanifanya chochote wajinga hao[emoji23]
Haya kazi kwenu.
NILOGENI
UPDATE:Mnaotaka jina ili mniloge siwezi kuwapa sbb ua Privacy ila nawawekeeni picha yangu muitumie kuniloga. Kateni mikono,vidole,nifanyeni niwe na miguu 4 kama ng'ombe vyovyote.
View attachment 2615624
Sasa kama huamini uchawi kwamba upo na unatenda hiyo imani ya kunuiza na kitu kikaja wewe umeitoa wapi.Habari za kulogana ni ujinga tu.
Na ujinga huu unaanza kuthibitika mnapoanza kuomba majina, mnathibitisha uchawi wenu hauwezi kujua watu majina.
Mngekuwa na uchawi kweli, mngenuiza tu kwenye uchawi mpewe jina la Kiranga, lingekuja kamili mpaka fingerprint mngepata.
Acha uhuni.Onyesha kitovu chako tu basi namaliza kazi sasa hivi
Neno Kunuiza ni sawa na neno dragon.Sasa kama huamini uchawi kwamba upo na unatenda hiyo imani ya kunuiza na kitu kikaja wewe umeitoa wapi.
Kwa herini maana nishawaambia mnaopinga wote ninyi kwenye masuala ya ufahamu wa mambo ni weupe tuu