Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,001
- 1,591
Escrow account ndio ikoje hiyo?.Kama kweli upo serious na Milioni 25 za kulogwa,,, basi fanya hivi??
Milioni 5 fanya tangazo likiwa na DETAILS zinazohitajika na WACHAWI,,, weka bango gazeteni, nunua ukurasa pale MWANASPOTI au MWANANCHI... au mtandaoni kama FACEBOOK, Google Adsense au zingine.
Halafu hiyo Milioni 20 inatosha kabisa ndo iwe zawadi.. Na hii unaiweka kwenye Escrow Account mapema kabisa, maana unaweza ukafanywa chizi halafu hela isipatikane tena..
Zaidi ya hapo tuendelee kunywa supu Nyama zipo chini..