Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Uchawi hauna nguvu mm nakuja na bastola nimeweka kichwani kwako halafu fanya uchawi ikukose 😂😂Duh unajiamini kitu gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi hauna nguvu mm nakuja na bastola nimeweka kichwani kwako halafu fanya uchawi ikukose 😂😂Duh unajiamini kitu gani mkuu
haha mleta mada una ID ngap?
Hamna uchawi bwana we mbwembwe tu zile binafsi siamini kwenyr uchawi kabisa ..naamani kwenye nature tu wasituchoshe wangaMie nadhani kwa kua umepania kuwa prove kua hicho kitu hakipo ungefata yale wanayokuelekeza wao, kitendo cha kukataa inaonesha hata wewe una mashaka na unachokidai,
Weka Jina lako, la Mama yako waongezee na picha yako kuna mwingine kasema uweke uzi wa nguo yako kisha mkaandikishiane sehemu,
Wafanyie hayo watakayo kisha tukae tuone matokeo hata mie nina hamu ya kujua kama inawezekana ama haiwezekani.
5384Mimi naongeza 500k kwa mchawi atake ni tajia pin yangu ya M-PESA
Utakuwa unakula na kulala kwa mama.
Unanifurahisha,🤣.Duh unajiamini kitu gani mkuu
Woyoooooo team nature tupo wengi kumbe[emoji3060][emoji3060][emoji3060]Hamna uchawi bwana we mbwembwe tu zile binafsi siamini kwenyr uchawi kabisa ..naamani kwenye nature tu wasituchoshe wanga
Maneno mengiii niloge basi hamna lolote janja janja tuWewe usirogwe na mchawi ukawa unatokwa na damu ya hedhi. Utakwenda hospitali kutibiwa hutopona utarudi hapa hapa kushitakia maradhi yako ukifanya mchezo utakufa na tutakupa jina jipya aka RIP. Usicheze na wachawi ogopa sasa hawa viumbe wanaoitwa Wachawi ni viumbe wabaya sana katika hii dunia yetu. Achana na hiyo Menorrhagia inayoweza kutibiwa hospitali na hata dawa za asili.Lakini ukirogwa na uchawi wa kutokwa na damu ya hedhi huwezi kupona kwa dawa za Kizungu na ukifanya mchezo utakufa.
Atakimbia aache matunguri yake hapo😂Uchawi hauna nguvu mm nakuja na bastola nimeweka kichwani kwako halafu fanya uchawi ikukose 😂😂
Majina yako matatuUCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Eti bila majina matatu hawawezi kuniloga.Jamani mpaka sasa hivi mtoa mada hajarogwa! Wachawi mbona mnaniangusha Ml 25 hamzitakiiiii [emoji1787]
bullshitMajina yako matatu
Majina ya Mama yako matatu
Kabizi mezani hivyo vitendea kazi nenda kaendelee na shughuli zako uletewe vibwengo, na pia ungependa utoe hio 25M ukiwa kiwete ICU au ukiwa kaburini ushakua maiti ?
Hujawahi kupigwa ukapigika hujawahi kuteseka siku ukinyonywa damu ingali bado upo hai ndio utaelewa, tren linagonga Gari ndani kuna baba mama na mtoto mdogo, baba Mama wanakufa papo hapo Ila mtoto anatoka mzima bila hata jeraha moja Wala kuvunjika pahala, niulize Mara 3Uchawi hauna nguvu mm nakuja na bastola nimeweka kichwani kwako halafu fanya uchawi ikukose 😂😂
Sio kweliMboo moja inakutosha tu wewe.
Anipige nani mnarogwa nyinyi mliekuwa na iman haba hakuna uchawi mbele ya Yakobo 😂😂Hujawahi kupigwa ukapigika hujawahi kuteseka siku ukinyonywa damu ingali bado upo hai ndio utaelewa, tren linagonga Gari ndani kuna baba mama na mtoto mdogo, baba Mama wanakufa papi hapo Ila mtoto anatoka mzima bila hata jeraha moja Wala kuvunjika pahala, niulize Mara 3