Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

Mie nadhani kwa kua umepania kuwa prove kua hicho kitu hakipo ungefata yale wanayokuelekeza wao, kitendo cha kukataa inaonesha hata wewe una mashaka na unachokidai,

Weka Jina lako, la Mama yako waongezee na picha yako kuna mwingine kasema uweke uzi wa nguo yako kisha mkaandikishiane sehemu,

Wafanyie hayo watakayo kisha tukae tuone matokeo hata mie nina hamu ya kujua kama inawezekana ama haiwezekani.
Hamna uchawi bwana we mbwembwe tu zile binafsi siamini kwenyr uchawi kabisa ..naamani kwenye nature tu wasituchoshe wanga
 
Utarogwa na kufirw@ juu dogo kuwa na heshima na taaluma za watu.
Umepata vijisenti unajiona wewe ndio wewe.
 
Wewe usirogwe na mchawi ukawa unatokwa na damu ya hedhi. Utakwenda hospitali kutibiwa hutopona utarudi hapa hapa kushitakia maradhi yako ukifanya mchezo utakufa na tutakupa jina jipya aka RIP. Usicheze na wachawi ogopa sasa hawa viumbe wanaoitwa Wachawi ni viumbe wabaya sana katika hii dunia yetu. Achana na hiyo Menorrhagia inayoweza kutibiwa hospitali na hata dawa za asili.Lakini ukirogwa na uchawi wa kutokwa na damu ya hedhi huwezi kupona kwa dawa za Kizungu na ukifanya mchezo utakufa.
Maneno mengiii niloge basi hamna lolote janja janja tu
 
UCHAWI NA UGANGA NI UONGO havipo na havifanyi kazi.
Mpo wengi humu mnaoamini hayo matakataka sasa nawapeni ofa ya 25M kwa atakayeweza kuniloga.
Majina yako matatu
Majina ya Mama yako matatu

Kabizi mezani hivyo vitendea kazi nenda kaendelee na shughuli zako uletewe vibwengo, na pia ungependa utoe hio 25M ukiwa kiwete ICU au ukiwa kaburini ushakua maiti ?
 
Jamani mpaka sasa hivi mtoa mada hajarogwa! Wachawi mbona mnaniangusha Ml 25 hamzitakiiiii [emoji1787]
Eti bila majina matatu hawawezi kuniloga.
Wengine wanadai sina vigezo vya kuvutia wachawi waniloge🤣
Mmoja tu ndo kasema anaweza kuniloga bila majina yangu.
Niko hapa namsubiri.
Msiponioma kesho nzima kwa huu uzi mjue washapita na mim usiku😂
 
Majina yako matatu
Majina ya Mama yako matatu

Kabizi mezani hivyo vitendea kazi nenda kaendelee na shughuli zako uletewe vibwengo, na pia ungependa utoe hio 25M ukiwa kiwete ICU au ukiwa kaburini ushakua maiti ?
bullshit
 
Uchawi hauna nguvu mm nakuja na bastola nimeweka kichwani kwako halafu fanya uchawi ikukose 😂😂
Hujawahi kupigwa ukapigika hujawahi kuteseka siku ukinyonywa damu ingali bado upo hai ndio utaelewa, tren linagonga Gari ndani kuna baba mama na mtoto mdogo, baba Mama wanakufa papo hapo Ila mtoto anatoka mzima bila hata jeraha moja Wala kuvunjika pahala, niulize Mara 3
 
Hujawahi kupigwa ukapigika hujawahi kuteseka siku ukinyonywa damu ingali bado upo hai ndio utaelewa, tren linagonga Gari ndani kuna baba mama na mtoto mdogo, baba Mama wanakufa papi hapo Ila mtoto anatoka mzima bila hata jeraha moja Wala kuvunjika pahala, niulize Mara 3
Anipige nani mnarogwa nyinyi mliekuwa na iman haba hakuna uchawi mbele ya Yakobo 😂😂
 
Back
Top Bottom