Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

Ubarikiwe sana bro! Ndio maana naipenda JF.

Amen.
 
Kula like hapo kwenye watoto ndio pointi ya msingi
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Asante kutufahamisha kuwa umepata kazi yenye meshahara (take home) shilingi laki nane (800,000/=) mkuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa ufafanuzi huu nimepata mwanga sana. Daah! JF napakubali sana. Abarikiwe mkuu Mello.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Utakuwa mjinga bila shaka kwani wanaoishi moshi wote wanalipwa zaidi ya laki nane? Kuna bodaboda,mama mboga,wasukuma mikokoteni,walinzi na hata wasiojishughulisha kwa chochote na wanaishi. Nenda kazini wewe bwege.
Mkipataga kazi mnajifanya wakati kila siku humu mlikuwa mnalia lia na kumwaga kamasi kila jukwaa. Go and work bladifakeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…