Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

Nilisoma Moshi VTC, nyuma kule kuna sehemu inaitwa Pasua ni noma sio mchezo..
Nusu nibebwe na 110 za polisi mitaa ya usiku, nikatoa kitambulisho nikapoea hapo....
Ilikuwa raha maisha ya chuo pale, wakati mwingine tunaomba mechi na watoto wa kishua wa Moshi International School, Aisee, tulikuwatukiingia mule ndio tunajijua ni watoto wa masikini....maneno ya Shanty Town...
 
haya maelezo yanahusika vip hapa kiongozi
 
Dah kuna watu wana dhambi hii nchi yaani laki 8 kwa mwezi mtu anaomba ushauri kweli ngoja tutafute hela wakati kuna watu wana survive kwa laki tu.
 
Akae Soweto.
 
Sali pia usisahau kumwagilia moyo
 
Bila shaka sio kazi ya mhindi au muarabu
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
Mkuu kuna mji Tanzania ambao hutaweza kuishi kwa hela hiyo? Anyway moshi maisha ni mepesi hususan kwenye kodi… 60k ni chumba kizur na sebuleni ..Mamb mengine will depend on him…
 
Ngoja tuanzue hapa, kwa sasa anaingiza pesa kiasi gani kwa mwezi?
 
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?

Kuna watu hawana icho kipato na wanaishi mzee Aisha kulingana na kipato aache mbwembwe
 
Mwambie aachane na hiyo kazi kabisa,
Laki 8 hawezi lipia hata Kodi ya pango, hivi unacheza na Moshi wewe!

Acha ufala mkuu Kwa Iyo kodi tu lak 8 ? Hakuna chini ya apo sio ? Watu wote naoishi moshi kodi ndo iyo sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…