ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
 
Unataka tumpe nani hio SGR na ATC tumpe DP World?
 
LATRA kuna WASOMI wabobezi wa usafirishaji na uchumi, wakishirikiana na NIT, tatizo wanasiasa wanaingilia utendaji, nadhani hizi kampuni ziwekwe DSE.. na wale wataalam wa FINANCE watoe njia Bora yakuwakaba WEZI wa miundombinu.
Screenshot_20240325-220711.png
 
LATRA kuna WASOMI wabobezi wa usafirishaji na uchumi, wakishirikiana na NIT, tatizo wanasiasa wanaingilia utendaji, nadhani hizi kampuni ziwekwe DSE.. na wale wataalam wa FINANCE watoe njia Bora yakuwakaba WEZI wa miundombinu.View attachment 2947486
Maelezo yako hayatoshi hii ni essay ya paragraph zaidi ya 15 ndani ya page zisizopungua 10 umeandika mistari mitatu, ongeza nyama
 
Tangaza tender basi tukupe maljibu mazur ..usitake cheap Kwa gharama zangu
Ongeza nyama pale juu wachumi wasomi bla bla bla jaza finyango hizo usitulambishe lambishe, wasomi wachumi tunafeli vipi sasa?
 
Back
Top Bottom